Nimegunduwaa..!!

Nimegundua katibu wetu anawatoto wakubwa
 
Siyo
"Nimegunduwa"
Ilitakiwa uandike "NIMEGUNDUA"

Near by Sangu high school Mbeya.
 
Nimegundua members wa Jf wanapendana kwa upendo thabiti pamoja na kutofautiana kiitikadi.
 
Huku nimegundua jamani, kumbe f4 kesho wanafanya necta!
 
Nimegundua CDM hatawachukua nchi 2015
 
Nimegundua hakuna shujaa alie hai ndio maana siku ya mashujaa huwa tunaoneshwa makaburi!
 
Nimegundua kucheka, kulia na kuimba ni sawa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…