Maria Roza JF-Expert Member Joined Apr 1, 2009 Posts 6,802 Reaction score 1,606 Jan 25, 2011 #21 umekula?
klorokwini JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 8,647 Reaction score 5,147 Jan 25, 2011 #22 Maria Roza said: umekula? Click to expand... unataka kumtunuku?
Maria Roza JF-Expert Member Joined Apr 1, 2009 Posts 6,802 Reaction score 1,606 Jan 25, 2011 #23 klorokwini said: unataka kumtunuku? Click to expand... Nah!! naona njaa inamsumbua @
klorokwini JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 8,647 Reaction score 5,147 Jan 25, 2011 #24 Maria Roza said: Nah!! naona njaa inamsumbua @ Click to expand... dah! imekula kwangu, nilifkiri unataka kumhurumia, namimi niombe. nina njaa kweli aisee
Maria Roza said: Nah!! naona njaa inamsumbua @ Click to expand... dah! imekula kwangu, nilifkiri unataka kumhurumia, namimi niombe. nina njaa kweli aisee
Maria Roza JF-Expert Member Joined Apr 1, 2009 Posts 6,802 Reaction score 1,606 Jan 25, 2011 #25 klorokwini said: dah! imekula kwangu, nilifkiri unataka kumhurumia, namimi niombe. nina njaa kweli aisee Click to expand... Hahahha mie naumwa naomba dawa @ :A S kiss::A S kiss:
klorokwini said: dah! imekula kwangu, nilifkiri unataka kumhurumia, namimi niombe. nina njaa kweli aisee Click to expand... Hahahha mie naumwa naomba dawa @ :A S kiss::A S kiss:
klorokwini JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 8,647 Reaction score 5,147 Jan 25, 2011 #26 Maria Roza said: Hahahha mie naumwa naomba dawa @ :A S kiss::A S kiss: Click to expand... dawa ipo usihofu, unataka ya kumeza au ya kusugua?
Maria Roza said: Hahahha mie naumwa naomba dawa @ :A S kiss::A S kiss: Click to expand... dawa ipo usihofu, unataka ya kumeza au ya kusugua?
Maria Roza JF-Expert Member Joined Apr 1, 2009 Posts 6,802 Reaction score 1,606 Jan 25, 2011 #27 klorokwini said: dawa ipo usihofu, unataka ya kumeza au ya kusugua? Click to expand... Kusugua na kupaka:heh:
klorokwini said: dawa ipo usihofu, unataka ya kumeza au ya kusugua? Click to expand... Kusugua na kupaka:heh:
klorokwini JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 8,647 Reaction score 5,147 Jan 25, 2011 #28 Maria Roza said: Kusugua na kupaka:heh: Click to expand... ok acha nikuandikie prescription ya kutwa mara tatu. kwa maelezo zaidi njoo chumba cha operesheni. hapa wagonjwa wengine watatamani kuumwa na wao.
Maria Roza said: Kusugua na kupaka:heh: Click to expand... ok acha nikuandikie prescription ya kutwa mara tatu. kwa maelezo zaidi njoo chumba cha operesheni. hapa wagonjwa wengine watatamani kuumwa na wao.
Zipuwawa JF-Expert Member Joined Nov 28, 2010 Posts 3,050 Reaction score 657 Jan 25, 2011 #29 Katavi said: Ahahahaaah bora imeletwa huku, kunafaa zaidi!! Click to expand... katavi ilikuwa wapi hii?
Katavi said: Ahahahaaah bora imeletwa huku, kunafaa zaidi!! Click to expand... katavi ilikuwa wapi hii?
Gaga JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 4,558 Reaction score 1,971 Jan 26, 2011 #30 kapotea njia jamani. dedication, show me the way wa ivon chaka