Nimegundua wasanii wengi ni watoto wa single mothers; kama ni kweli why?

Sasa naaanza kukuelewa labda, hiyo sentensi imenifanya nipate mtazamo wako.

Inawezekana niko sahihi au si sahihi.

Red, Inawezekana kulingana na uzoefu wa kuweza kulelewa na baba imekujengea picha ya kuwa baba anaweza kuwa na 'authority' zaidi kwa watoto na hivyo malezi yake kuwa marahisi zaidi, je ndivyo ilivyo kwa kila single father au mlikuwa na bahati kuwa na baba mwenye msimamo?

Blue, Na pia inategemea mama ulikuwa unamchukuliaje kwa staili ya malezi aliyokuwa anatoa, ndio maana huna uhakika kama ungewezea fikia hapo ulipo leo.

Lakini green, ndio jibu la sred labda, una set picha gani kwa watoto ili waweze kukuelewa na kufanikiwa katika kile unachotaka wafanikiwe.

Comment yako iko makini sana. Nadhani hapa kuna fundisho kwa single mothers na single mothers to be.

Naona mama yako alitambua challenge ya kulea watoto peke yake, na akaamua kuwa inabidi a play double role; ya umama na ubaba. Alikuwa anaweza toa amri mkafuata ...labda alikuwa mkali au alikuwa na watoto wasikivu...wanasema ana bahati.

Mimi mwenyewe wazazi walitngana lakini nilikuwa mkubwa kidogo; form one, na nilikuwa last but one; hivyo nilikuwa na wakubwa zangu kibao wanaojitegemea except mimi na mdogo wangu.

Ila hatukueda kuishi kwa mama...tulilelewa na baba; na mpaka leo anajisifu kwa kuweza kutulea vema akiwa peke yake. Hakuwa mkali na hajawahi hata kunipiga kofi ila ana speak with authority...na alikuwa hachoki kutukanya kuhusu maisha yetu mpaka ikawa wimbo. Na kwa kuwa tulikuwa tunampenda sana...he was the last person we wanted to dissapoint.

Sikuwahi feel stigmatized. Wala sijawahi kuwazia. Labda kwa kuwa nilikuwa naishi na baba si mama.

Ila cha hajabu mama toka aachane na baba alianza kuwa mpole hajabu. Alikuwaga mkali sana alipokuwa home. Nadhani tungekaa nae tusingekuwa hapa tulipo; maybe yes maybe not.
 
wababa kina Bushoke bado matokeo yao hayatofautiani na single parent. Kina baba wengi ambao hawana leadership clout family zao ni za hovyo, kuanzia kwa mama hadi kwa watoto. Nilishaona kwenye family moja binti aliyeko form four kaingia home saa nne usiku, babaake ('Bushoke style') wala hakumuuliza katoka wapi na kwa nini muda ule, yeye kauliza eti 'hakuna wanaonisalimia huko?' hapo nilisikia hasira zinanipanda ile mbaya, very hopeless people. Kwa hiyo nasisitiza hapa kuwa ikiwa baba yupo lakini ni Bushoke, huyo ni good for nothing, ni sawa tu na mama akishikilia usukani, na matokeo ni watoto kuharibikiwa ile mabaya. thanks Kongosho

The Boss, mtoto yeyote mzazi wake huwa ndio role model.

Sishangai mtoto wa porn star kuwa porn star ihusishwe na u-single mother? Au single father?

Mfano, mzazi wangu ni engineer wa umeme, nilianza penda kazi ya umeme tangu la kwanza, na nilipenda physics na maths simply bcoz na ndoto ya kuwa engineer kama mzazi.

Kwa nini iwe ajabu kwa porn star? Au kwa mtoto wa single parent kupenda kazi ya mzazi anayemlea?

Capital, hao akina baba wa ku-enforce law and order umewapimaje?? Hakuna mababa bushoke? Soft hata anaweza chomwa kidole jichoni na mtoto?
 
Last edited by a moderator:
Nakubalina na wewe ni mama wachache sana wanaoshika usukani afu familia ikawa na descipline. Kitendo cha mama kujifanya baba tu kinafanya baba na mama wote wadharauliwe na watoto.

Nina mifano michache kichwani mwangu.

Ni tofauti na zile familia (ambazo pia sizifagilii) ambazo mama hawezi kuwakanya watoto anasuburi baba yao...'ngoja baba yenu aje niwasemee' type. Hii at least watoto wanakuwa na mtu wa kumuogopa; baba.

Back
Top Bottom