Nimegundua,nina mkosi

Nimegundua,nina mkosi

Shangilia Simba sports club achana nao wazungu hao.
Nalog off
 
Acha kumtaja mungu kwenye mambo ya kipuuzi kama haya.
 
Wew kweli nyau wa kijani...kakwambia nani nina mikosi?

Cute b,matusi ya nini mkuu!!,kukwambia tu "acha uongo",nimeshakuwa Nyau tena wa Kijani,sasa ningekutukana inavyotakiwa si ungeanza kuokota makopo??,Tuliza munkali JF utataniwa,utachekeshwa,n.k.usiwe mtu wa jazba maisha yenyewe mafupi km mkia wa kitimoto ya nini kujipa presha??.
 
Owkey samahan
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom