Nimegundua mpenzi wangu kanichoka

Nimegundua mpenzi wangu kanichoka

Kama unadhani mwanamke anataka hela,kula vizuri, kulala vizuri, kuvaa vizuri alafu ndo mapenzi yafuate fikiria mara mbili.
Eehe...!! Waulize vibenten shoo zimewafikisha wapi... yani mwanamke atakupendea show kama kuna mtu anatimiza majukumu yake akiwa na shida lakini kama mwanamke ana mahitaji yake na wewe ndo anategemea umtimizie alafu Huna kitu yani upo mbupuu tu... Hata hio show kuipata utaisikia kwenye bomba mzee...!! Show ina maana kama anapata mahitaji yake vizuri otherwise nasema hata upige show mpaka ufie kifuani wewe ni takataka tu kwake.


Ndo maana mke wamtu akimuacha mumewe akaenda kwa jamaa ambae anampa dudu tu nasema atarudi kwa mumewe analiaa kilio cha mbwa mwiziii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Imeishaa hiyooo..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom