Nimegundua makosa madogo ya kiuandishi katika Press Release ya leo iliyotolewa na Madam Zuhura Yunus

Maneno "jaffari haniu" yalipaswa yaanze kwa herufi kubwa
 
Nawe koma zimekaa sehemu zisizostahili, nikianza kukusahihisha tutakesha, ukweli ni kuwa uandishi wetu ni wa mazoea kwani hao wanaotufindisha wanahitaji kufundishwa.
 
Huyu alikuwa mtangazaji, siyo mwandishi jamani.
 
Naunga mkono hoja! Dada kaandika li press release la hovyo kabisa! Utafikri limeandikwa na kanjanja! Hivi hii sentensi "Ndugu Plasduce Mkeli Mbossa anachukua nafasi ya ndugu Eric Khamis" ndiyo inatakiwa kuwa hivyo kweli? Kwa nini asingeandika "Wakati huo huo Mh. Rais amemteua ndugu......... kuwa mkurugenzi mkuu wa Bandari? Na ile sentensi ya uteuzi huo unaanza tarehe........ kwa nini isingekuwa kwenye para moja na huo uteuzi? Nikiri tu kwamba press release za Jaffar Haniu na Msigwa zilikuwa nzuri kuliko za huyu mdada!
 
Mleta hoja hapa hata wewe bandiko lako la masahihisho kwa Zuhura Yunus lina makosa mengi sana. Ulitakiwa "kuliediti" kabla hujaruhusu au hujaliachia liende hewani.
Usimlinganishe mleta hoja na mtu aliyesomea hicho kitu! Huyu mdada ni mbobezi kwenye Tasnia ya habari kwa hiyo anatakiwa awe deep kuliko Salary Slip!
 
Mkuu tukiamua kufuata hizo tahajia hakuna Mtanzania anayeongea Kiswahili sanifu
 
Upo sahihi 100%
 
Siyo kila kitu anaandika yeye Zuhura, Ikulu ni taasisi kubwa wapo makatibu muhtasi.

Zuhura anatoa majina na instructions tu, hao ma secretary I hope nao wako bize na jf ndo wanalipua then Zuhura signed, hawezi kuangalia one by one.

Nashangaa wanatuacha waandishi mahsusi tuna chakalia huku mtaani 🤣🤣
 
Harafu muundo wa wa sentensi na tungo zake zinamfumo wa Kiingeleza sio kiswahili.



Sentensi kama hii ni kama vile huyu Mbossa hajateuliwa ila amechukua tu basi.

Vingine tumebaki kuelewa kwa sasabu ya mazoea.
 

Tarehe kaiandika kwa usahihi kabisa.
 
Ameandika kama anatangaza mpira
 
Harafu muundo wa wa sentensi na tungo zake zinamfumo wa Kiingeleza sio kiswahili.

View attachment 2281463

Sentensi kama hii ni kama vile huyu Mbossa hajateuliwa ila amechukua tu basi.

Vingine tumebaki kuelewa kwa sasabu ya mazoea.

Huo unaouona utata kwenye hiyo sentensi moja unajibiwa ukisoma andiko lote.

Nadhani ni makosa kuchota sentensi moja na kuitolea maana, hili andiko linaarifu kwa kusimulia ktk namna fulani. Hivyo kuipata maana kusudiwa (kwenye suala hili ni aidha Mbossa kachukua nafasi au kateuliwa) ni muhimu kurejea kichwa cha habari au kuendelea kusoma andiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…