chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 19,703
- 22,743
Habari wana MMU,.
Ninafahamiana na madaktari wengi ambao nimepata kufanya kazi nao nyakati tofauti tofauti katika maisha yangu.
Wengi wao nilipotaka kupata historia zao katika mahusiano na hasa walipataje mke waliniambia madaktari wengi wanawaoa wagonjwa wao wanaofika mahospitalini kwa matibabu.
Nilistaajabu sana iweje daktari amuoe mgonjwa wake? Majibu ni kwamba daktari anapomtibu mgonjwa wake akapona vizuri hujenga imani kubwa sana na daktari wake hivyo endapo mwanamke huyo atakuwa bado hajaolewa daktari akimtaka awe mke wake wengi wao huwa hawakatai ombi hilo.
Wakuu naomba kupata mitazamo yenu pia Juu ya hili.
Nawasilisha,...