Nimegundua leo wife yuko JF

Nimegundua leo wife yuko JF

Tarime one

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Posts
2,246
Reaction score
1,740
Wajameni leo nimegundua my wife yuko humu Jamii Forums tena anapenda hiki kitengo cha MMU. Sasa nitakosa uhuru wa kuchangia.

Sijajua how long yuko humu but nimeshtuka sana,najaribu kujua ID anayotumia na kila nikimuuliza anacheka tu, hii balaa inabidi niwe mpole.
 
Km anajua ID yako basi we badilisha fastaaa, na pia usijaribu kujua ID yake maana huko kwenye PM yake hujui utakutana na nn
 
Km anajua ID yako basi we badilisha fastaaa, na pia usijaribu kujua ID yake maana huko kwenye PM yake hujui utakutana na nn

Dah!ni ngumu kumeza but nitafanya kila niwezalo kujua id yake,tatizo huwa mara nyingi analog out ingekua sio hivyo ningeijua mapema.
 
Kitendo cha kuonesha interest keshajua umo. Na believe me, atajua ID yako kabla we hujajua yake. Labda km ww ni mchepukaji
 
sasa wasiwasi wako nini hapo mkuu?..... we jivinjari tu kwa raha zako bana.....ila ukifika home usiongelee mambo ya JF

Wasi2 wangu ni pale nitakapotoa post yenye kaukweli ka nyumbani nikiomba ushauri si hapo ndio anaweza kushtuka!!
 
Wasi2 wangu ni pale nitakapotoa post yenye kaukweli ka nyumbani nikiomba ushauri si hapo ndio anaweza kushtuka!!

si ndo vizuri ili asikie directly maoni ya wadau halafu ukifika home unapiga kimya, hakuna kuongelea mambo ya JF wala kuonyesha unatembeleaga humu

Muhimu kwa story ya home tumia majina feki, muda feki, siku feki, mwaka feki na kisa chenyewe kisiwe exactly,sema kifananie tu
 
Bora wewe unagundua kwa style hiyo. Mwenzako nilikuwa na kadili ka bodaboda ka kunipa senti za kilimanjaro ila wife alikuwa hajui sasa kuna siku dereva kaleta hela home mie sikuwepo kamkabidhi wife akaulizwa maswali naye kabwabwaja kila kitu pale,

Mie narudi jioni nawekwa kitimoto pale wife ananiambia nimeanza kufuata ushauri wa jf wa kumficha yeye baadhi ya mambo yanayohusu pesa akanipiga mkwara mzito na yeye ataanza kufuata ushauri wa lara1 hapo nikajua nayeye ni mdau wa jukwaa hili ila ID siijui..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom