OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,583
- 105,666
Ameandika kwa ujasiri Kama vile aliwahi kufa akaelekeaUkifa uelekee gizani na siyo kwenye mwanga 🤣🤣🤣
Ameandika kwa ujasiri Kama vile aliwahi kufa akaelekeaUkifa uelekee gizani na siyo kwenye mwanga 🤣🤣🤣
Last seen yake ni 2007Hahahaaa umenikumbusha mwanachama wa JF aliyekuwa anajiita tafiti then jadili.
Sijui siku hizi anajiita nani, kama bado yupo!
Kwanza hakuna imani isiyo na matokeo, kila mtu anachoamini huwa kinamletea matokeo chanya au hasi.Kwahyo unataka kusema unachokiamini wewe ni sahihi hata kama ni cha uongo, na kile wanachoamini wengine ni potofu hata kama ni cha kweli?
Huyu Kasimuliwa au kasoma sehemu mi namuasa Afanye jitihada ajionee mwenyewe hayo anayosema yote atajua ukweli uko wapi..Kuna kiukweli na kauongo kiasi fulani ,jamaa inaonekana kasimuliwa au kusoma hajapata uzoefu wa haya yeye kama yeye.
Nothing is just a game of dominance and how it feels to rule and monitor other spirits by making them mortalHao advanced spiritual beings wanafanya yote hayo kwa sababu wanataka my achieve kitu gani? What is their motive? Tuanzie hapo m
Hii no. 10 ndo sahihi zaidi. Hata mimi nishaifatilia sana.Habari wakuu
1. Binadamu hawafi, miili ndo hufika mwisho kuoperate
2. Sisi ni immortals/spiritual beings hatufii
3. Hakuna motoni wala mbinguni
4. Sio kila mwenye mwili wa mtu ni binadamu,wengine ni chitauli/aliens na wengine mijusi/reptilia
5. Tunaishi kwenye duara la maisha,tukitoka kwenye miili iliyokufa tunarudi tena kwenye miili inayozaliwa,tunafutwa kumbukumbu na roho kama sisi zenye ufahamu kubwa ambazo hazina upendo na hekima,kituo chao kimoja duniani kipo chini ya mlima ruwenzori
6. Kila mtu ni mchawi sema hajui kuutumia au kuuamsha na uwe mbaya au mzuri ni uamuzi wako
7. Vitabu vyote vya dini vimetokea mashariki ya kati ni vimeandikwa na wakufunzi wa shule za ajabu za misri/kemeti wenye kabila la levi/wayahudi wa zamani
8. Sisi tumetokea kwenye utupu mkuu kama roho ila miili tuliiumba kama majaribio ,kuna muda tuliiva tukashindwa kujitoa
9. Dunia ni jela ya roho za ulimwengu mwingine ambazo hukaa ndani ya miili maisha yao yote kutoka kwa maiti na kurudi kwa vichanga
10. Wazungu ni breed ya watoto wa chitauli na mwanamke wa kiafrika
11. DNA zote za wanawake duniani zina link africa
12. Tumechanganyiwa DNA ndo maana hatujui tumetoka wapi,kwanini tupo hapa na tunaelekea wapi
13. Tulikuwa na teknologia mara 1000 ya sasa,hatukuwa nyani wala hatukuumbwa na Mungu.
14. Mungu maana yake ''aliyeshuka toka angani'',ndio asili ya neno hilo wakimaanisha kiumbe wa ajabu mwenye uwezo wa kuua na kufufua,kuumba na kupoteza mf.chitauli,draco na wengine
15. Tunajua kila kitu ila tumefumbwa ufahamu,kila tunapotoka kwenye maiti tunafutwa kumbukumbu na kurudi tena japo bado duniani pia si kwetu.
16. Ukifa ukiona mwanga usielekee huko nenda upande wenye giza ndipo utajitoa kwenye hili gereza,ukifata mwanga utanasa kwenye neti za roho za kufuta memory na utarudi
Wewe je
Kabisa mkuu.Huyu Kasimuliwa au kasoma sehemu mi namuasa Afanye jitihada ajionee mwenyewe hayo anayosema yote atajua ukweli uko wapi..
Inshort there are trillions and trillions of spirits earth is just a playing ground,spirits do not depend on bodies they just live on them either ziwepo au zisiwepo it doent matter its a simulation or illusion anyways,na spirits nyingi zipo outside our realm japo hata inside pia zipo nyingi ila zipo captured kwenye hiyo amnesia beltHaujajibu swali langu la msingi unazidi kuleta hoja ambazo huenda zikaongeza maswali to infinity...; Swali langu la msingi ni kama Spirits have always existed na kinachofanyika ni kubadilisha tu vehicles (bodies) iweje hizo bodies zinaongezeka kuliko kabla sababu zingekuwa ni zile zile za kutosheleza spirits hakuna haja ya kuziongeza..., na kama watu wakikosa wanakuja kama wadudu basi makosa yamepungua sababu binadamu tunaongezeka...
Kuamini-kuwa na shakaWewe ukiamini unachoamini kuwa ukifa unazaliwa kwingine na kuwa hakuna MUNGU MKUU inatosha.
Habari za sijui unajua maana ya imani potofu hazihusiki hapa maana kila mtu anachoamini kwake mtu huyo ni sahihi na vile wanavyoamini wengine ni potofu.
Kwa ufupi hapa kila mmoja ashinde mechi zake.Kuamini-kuwa na shaka
Je unajua au unaamini katika uwepo wa Mungu,na ile tuelewane useme Mungu ni nini au nani,ni uwepo,nguvu,kiumbe,roho,mwanga,giza ama nini
Yaan nami nimeona Kabisa mengi yana ukweli mkuuBaadhi ni ya Ukweli ila 9 sio kweli
aiseeNothing is just a game of dominance and how it feels to rule and monitor other spirits by making them mortal
Mtu anakufa wewe unabakiMwisho wa siku yatajadiliwa mengi na yataandikwa mengi sana lakini hakuna aujuae ukweli,ni kupoteza muda tu.
Nani amekufa akajua mtu akifa anaenda wapi,kuna nini,na kinamtokea/kimemtokea nini huko?huku ni kujazana upepo tu kama kitu kidogo kama kurudisha uhai wangu nikikata moto wanasayansi wakiwa na maiti yangu wanashindwa ndiyo waje leo kusema roho/pumzi yangu imeenda wapi!!!
Wapo watu wanajua mkuu ,ila inabaki kama personal experience tu wala hawezi andika kwa sababu itakua kama mahubiri tu .Mwisho wa siku yatajadiliwa mengi na yataandikwa mengi sana lakini hakuna aujuae ukweli,ni kupoteza muda tu.
Nani amekufa akajua mtu akifa anaenda wapi,kuna nini,na kinamtokea/kimemtokea nini huko?huku ni kujazana upepo tu kama kitu kidogo kama kurudisha uhai wangu nikikata moto wanasayansi wakiwa na maiti yangu wanashindwa ndiyo waje leo kusema roho/pumzi yangu imeenda wapi!!!
Mtu anakufa mimi nabaki how?Mtu anakufa wewe unabaki