Cybergates
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 720
- 1,545
Kati ya Browser nayo penda kuitumia kwenye web programming ni hii opera mini kama wiki mbili opera walituma update kama kawaida nika update sasa tokea juzi juzi hapa kuna project ya ruby nilikua na i run nikanzaa kuona system error Opera ina fail mpaka ina ji quit yenyewe nikajua labda ni data source zangu lakini nikitumia G-chrome naona ina fuction vizuri nikajua nikajaribu tena project nyingine ya PHP 7.0 yan Opera ina Load yan natumia localhost lakini page mpaka ije ifunguke unaweza sema server nayo tumia ipo newzland saa mida hii na andika andika loops nasubiri mechi yani inavyo load mpaka kuna mida windows imeniletea error mpaka ime ji restart.