- Thread starter
- #41
Kama Fundi anasahau kuwa msafi inashindikanaje kusahau kuweka brake pad?? Izi garage nishakinbiaga kitambo!! Nikushauri kitu...tofauti ya garage bubu na zile professionals iko kwenye labour fee tu....break shoe ni ile ile na oil wanabei zile zile, sasa ukikimbia tofauti ya elfu10 apo unasahau kuwa ukiwa main road spidi 170 then mlinzi wako ni Fundi aliyefunga tairi na kuseti break...apo akiwa amesimama katikati yako na Mungu wako!!
:thumbup: