Wakuu kama kawaida ya watu wengi hupenda kufanya service siku za weekend na mimi ni mmoja wao.Leo nimepeleka goma langu kwa fundi nikamwambia afanye service ikiwani pamoja na kucheck systime nzima ya brake.
Nilimwachia gari na mimi nikawa pemben ikidogo napata maji baridi nikashangaa gari inapita spidi nikarudi pale gereji Mara gari ikaingia akapaki karibu yangu kisha akashuka, duh jamaa kachafuka mavumbi yaliyo changanyikana na grisi kuangalia siti ya gari nayo imechafuka mavumbi na mafuta mafuta aaaghrr, aliniboa sana nikampa fucker za kutosha.