Nimegombana na fundi wa gari langu

Nimegombana na fundi wa gari langu

Gari inafanyiwa service kila baada ya km fulani au 15,000km sasa unapeleka kila weekend hiyo gari inavyoonekana ni korokoro. Tanzania majanga matupu, 2nd car inaitwa mpya. Hiyo gari yako ina km ngapi mpaka uwee unaipeleka kila week service?

ajasema kila wik na.ww soma vizur
 
Niliwahi peleka gari kwa hawa Wachina wakanipigia hesabu 5 mil nikapeleka kwa hao mafundi wa mtaani ikatoka 400 tu,
 
  • Thanks
Reactions: amu
Kama Fundi anasahau kuwa msafi inashindikanaje kusahau kuweka brake pad?? Izi garage nishakinbiaga kitambo!! Nikushauri kitu...tofauti ya garage bubu na zile professionals iko kwenye labour fee tu....break shoe ni ile ile na oil wanabei zile zile, sasa ukikimbia tofauti ya elfu10 apo unasahau kuwa ukiwa main road spidi 170 then mlinzi wako ni Fundi aliyefunga tairi na kuseti break...apo akiwa amesimama katikati yako na Mungu wako!!
 
Niliwahi peleka gari kwa hawa Wachina wakanipigia hesabu 5 mil nikapeleka kwa hao mafundi wa mtaani ikatoka 400 tu,
Na najua uliwahi kuwaza kuwa kuna spea genuine na copy!!
 

Kiswahili ni lugha yako, kama hujui kusoma sema usaidiwe.

Mkuu mbona michango yako kwa mleta mada ni mikali ivi, kakukosea nn??

Izo GARI za kutembea km 15000 sio za mjapan zetu second hand ni km 3000 mpaka 7000 mkuu!!!
 
Hata mimi kaniboa huyo fundi........atachafuaje gari lako bana........fundi ambae hatumii akili siwezi kumtetea hata siku moja.......halafu umesema alipita mkuku.......hivi huyo fundi mzima kweli.......kutest break ndio akimbize........?......huyo nikimletea hii Amarok yangu atanivuruga.........
cc MANI... RRONDO.......

hahahahah labda alikuwa anatest ABS si unajua ABS hadi ziwe activated mwendo unahusika....kwani AMAROK yetu si bado iko under warranty??? CMFA wanahusika ukileta tu mwembeni warranty inakufa.
 
wakuu kama kawaida ya watu wengi hupenda kufanya service siku za weekend na mimi ni mmoja wao.leo nimepeleka goma langu kwa fundi nikamwambia afanye service ikiwani pamoja na kucheck systime nzima ya brake.

Nilimwachia gari na mimi nikawa pemben ikidogo napata maji baridi nikashangaa gari inapita spidi nikarudi pale gereji mara gari ikaingia akapaki karibu yangu kisha akashuka, duh jamaa kachafuka mavumbi yaliyo changanyikana na grisi kuangalia siti ya gari nayo imechafuka mavumbi na mafuta mafuta aaaghrr, aliniboa sana nikampa fucker za kutosha.

hivi kumbe na wewe unagari bac sawa,,,,,
 
Tumejua una gari we mhaya

Mkuu misio muhaya please. gari mbona kitucha kawaidatu sema watanzania tumezoea shidandomana weunaona kamanikitu cha matangazo wakati gari ni kitendea kazi (working equipment) set up your mind.
 
wa2 2napeleka hammer hd 2na4get huyo ni fundi kama anatest brek lazma aend kasi we moyo unaenda mbio au la mkopo nn ttz m2 ukiwa na jicho m1 alaf linataka kutoka

Mkuu ishu sio speed. Minilichukia baada ya kuona kachafua seat.
 
Hata mimi kaniboa huyo fundi........atachafuaje gari lako bana........fundi ambae hatumii akili siwezi kumtetea hata siku moja.......halafu umesema alipita mkuku.......hivi huyo fundi mzima kweli.......kutest break ndio akimbize........?......huyo nikimletea hii Amarok yangu atanivuruga.........
cc MANI... RRONDO.......

:thumbup:
 
Last edited by a moderator:
Acha roho mbaya mkuu......fundi alikuwa anajaribu breki....tu.....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Sio rohombaya mkuu mambomengine yanaudhi sana mtu hasamini kituchamtu unajua matirio ya seat yenyewe huwezi kuisafisha kirahisi so lazma uboreke kidogo.
 
Mwakajembe hizi garage bubu mbona kuna mafundi wazuritu sema wanakosaustarabu kidogotu hukokwenye Tra register na kwenyewe ni wizimtupu wana mibei utafki una service ndege.

Ukiwa na gari swala labei hutakiwi kuangalia chamuhimu je wametengeneza uvyotaka basi
 
Gari inafanyiwa service kila baada ya km fulani au 15,000km sasa unapeleka kila weekend hiyo gari inavyoonekana ni korokoro. Tanzania majanga matupu, 2nd car inaitwa mpya. Hiyo gari yako ina km ngapi mpaka uwee unaipeleka kila week service?

Hahahaha duh mkuu unazarausana, OK nikisema week end weunadhani ni kila week? No! unakosea, nikwamba katika mzunguko waa km huwa nafanya timing ya week end coz ndonakuwa free.
 
Back
Top Bottom