Kalosa
JF-Expert Member
- Feb 22, 2017
- 1,914
- 5,590
Pamoja sana chief.Hapana mkuu wangu hili jina tu but kwangu namba 7 ni namba ya ukamilifu
Pamoja sana chief.Hapana mkuu wangu hili jina tu but kwangu namba 7 ni namba ya ukamilifu
Karibu boss wanguPamoja sana chief.
Thread closed.hahahhahaMchekeshe sana
Halafu jifanye unaumwa upo kitandani..
Hahahah demu huyoooo,muite mkuuuu hahahhaHapana kaka vijiwe kama hivi vinasaidia kuamua baadhi ya mambo ndio maana rais ana washauri
Haahaahhah hauko nyuma naweHahhah hapohapo kwenye kaka haujakosea kabisa mimi ni kidume cha mbegu
We komaa nae ivo ivo atakuja kukupa tunda kimasihara mkuu uskate tamaa![]()
Kimasihara wakati ni wapenzi haipoKwa kweli iwe win-win situationUmekuwa mcheshi sana, mwambie tu awe analipia vichekesho.
Sikuwa na wazo nshazoea watu wangu wa karibu ni maselaHahahah demu huyoooo,muite mkuuuu hahahha
Mbona unacheka mkuu
Ulivyojidugde aiseMbona unacheka mkuu
KivipiPoyoyo
Ni hatari nduguUlivyojidugde aise