Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,869
Hapana kaka vijiwe kama hivi vinasaidia kuamua baadhi ya mambo ndio maana rais ana washauri



Kaka tena
Hapana kaka vijiwe kama hivi vinasaidia kuamua baadhi ya mambo ndio maana rais ana washauri



Kaka tenaSina pressure juu ya hili najiona bora zaidi yake mara lakiKyumma bora na kali zimejaa achana naye japo najua atajileta
Sorry ShaniKaka tena
Hahhah hapohapo kwenye kaka haujakosea kabisa mimi ni kidume cha mbeguSorry Shani
Najihisi hoves kabisa mjukuu wangu
Sure asee! kashaniona standing comedy wakeYaani uko sahihi Singasinga
Sisi kama chama cha wachekeshaji tunakuunga mkono 100%
Akatafute akina Joti wamchekeshe....ebo!
Namimi nakubaliHahhah hapohapo kwenye kaka haujakosea kabisa mimi ni kidume cha mbegu
Acha kabisa hii sayari ina mambo sanapole sana mkuu
Ukubwa dawa
Acha kabisa hii sayari ina mambo sana

Niunganishe nao kama vipiCheka Tu inakufahaa
Yani kila andiko nnalomtumiaUtaskia..."yaani nikichat au kuongea na wewe huwa nafurahiii"
Kumbaaff.....toa mzigo!
Sure asee!,sio mzani uegemee upande mmoja tu huku nakula kwa machoMtafute na wew Ebitoke wako muwe mnafurahishana uko ndani![]()
Kumbaf sana huyo.....eti "hahahaaa"Yani kila andiko nnalomtumia
inajibiwa kwa
Hahahahahahaha!
Jana nimekutana nae mitaa yao nlikua nawahi kucheki game ya united na liva nlimpita kama simjui akanipiga kikumbo nikajifanya ndo nimemuona,akanitambulisha mdogo wake wa kike nikamjibu tu "ok fine ngoja niwahi"Kumbaf sana huyo.....eti "hahahaaa"
Akachekee makima wenzake huko.....AMENIKERA!
Sure asee!,sio mzani uegemee upande mmoja tu huku nakula kwa macho



Sahihi kabisaUshauri wakuu
Kuna binti (mpenzi) kanigeuza Erick Omondi maana siku hizi akiwa bored ndio ananitxt ili tuchat acheke ila tukipanga aje maskani anadai kwa sasa yuko busy hawezi pata muda wa kuja.
Sasa kwa kutambua hilo kuanzia juzi nimemkaushia sms zake na nadhani umefika muda wa mimi kuangalia ustaarabu mwingine wa mtu ambae atakua commited na mimi bila kuangalia maslahi yake binafsi.
Je uamuzi wa kumkaushia uko sahihi?
Umetisha!Jana nimekutana nae mitaa yao nlikua nawahi kucheki game ya united na liva nlimpita kama simjui akanipiga kikumbo nikajifanya ndo nimemuona,akanitambulisha mdogo wake wa kike nikamjibu tu "ok fine ngoja niwahi"
Najua anasubiri nimjib sms zake ambazo alizituma ila nimejiapia labda nirogwe
Namba 7 ? Nzega sindio samahani be lakiniKyumma bora na kali zimejaa achana naye japo najua atajileta
Hapana mkuu wangu hili jina tu but kwangu namba 7 ni namba ya ukamilifuNamba 7 ? Nzega sindio samahani be lakini