Nimegeuzwa Erick Omondi

Nimegeuzwa Erick Omondi

Ushauri wakuu

Kuna binti (mpenzi) kanigeuza Erick Omondi maana siku hizi akiwa bored ndio ananitxt ili tuchat acheke ila tukipanga aje maskani anadai kwa sasa yuko busy hawezi pata muda wa kuja.

Sasa kwa kutambua hilo kuanzia juzi nimemkaushia sms zake na nadhani umefika muda wa mimi kuangalia ustaarabu mwingine wa mtu ambae atakua commited na mimi bila kuangalia maslahi yake binafsi.

Je uamuzi wa kumkaushia uko sahihi?
Umechelewa sana Singasinga nasema uongo ndugu zangu

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Ushauri wakuu

Kuna binti (mpenzi) kanigeuza Erick Omondi maana siku hizi akiwa bored ndio ananitxt ili tuchat acheke ila tukipanga aje maskani anadai kwa sasa yuko busy hawezi pata muda wa kuja.

Sasa kwa kutambua hilo kuanzia juzi nimemkaushia sms zake na nadhani umefika muda wa mimi kuangalia ustaarabu mwingine wa mtu ambae atakua commited na mimi bila kuangalia maslahi yake binafsi.

Je uamuzi wa kumkaushia uko sahihi?
nlidhani nko mwenyewe kumbe tuko wengi yaan demu maslahi yake anatak atimiziwe ila yako kukutimizia sahau.....na bora na ww ankup visingizio me wangu ananyooka straight ansema hawezi kuja afu nikiuchuna hata wiki na yye vivyo hivyo anauchuna....ila maamuzi ya mwisho ni kutafuta ustaarabu mwingine tu🥴🥴🥴
 
nlidhani nko mwenyewe kumbe tuko wengi yaan demu maslahi yake anatak atimiziwe ila yako kukutimizia sahau.....na bora na ww ankup visingizio me wangu ananyooka straight ansema hawezi kuja afu nikiuchuna hata wiki na yye vivyo hivyo anauchuna....ila maamuzi ya mwisho ni kutafuta ustaarabu mwingine tu
Kwamba anajibu kabisa hawezi kuja?
 
Mzee huyo kaku friend zone si ulijifanya mchekeshaji .... Na kutoka hapo ni ngumu asikuambie mtu ..hata akija ukamtindua bado utabaki Kama rafiki maana akili zake zipo huko

.....Kama unatafuta mchumba wa maisha tafuta sehem nyingine na punguza uboya wako wa kujifanya comedian hakikisha mwanamke kabla hamja fika mbali amesha jua lengo lako ni nn
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom