Nimegeuka Zombie

Sred closed, ila nimechekeshwa na ushakunaku jamani.
 
Sio kifua wazo cha zombie tu, na cha kwake kitokee kwenye picha. I mean picha kama zile za kwenye senema.

saaasa je!
bila usibitisho(soma hivo hivo) wa picha hapa za kwenye senema za kama ile ya titaniki hakyamama hakifungwi kitu hapa!
asituchoshe!
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nowahi foleni, afu nshamuambia paw nataka tuhamie posta kuishi bush sip kabisaa.

Ila kwa tetesi tu------ Kongosho ndo kageuzwa zombie na zombie. Ila una kiranga mwanakwetu, khaaa
 
pole mwayego!
tetesi ako puruuuvd ila konnie akuje kukiri kwa kinywa hapa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…