Nimegeuka Zombie

Niko zamu ya sungusungu kitaa. Unataka kuzima taa na kakangu Kaizer?

ahahahhahahahha Kaizer hawa maankali na wadogo zako hawa,mh!
ehehehhe Mwali nae aliuzaga maswali meengi
sasa hao ni hao wakija wakezo hapa @gfsowin na ashadii!

ahahhahha shosti huyu kakako nae na kiranga chake tu !soketi washike wengine taa niambiwe nimezima mimi!akhu!
 
Last edited by a moderator:

mwalimu snowhite maneno meengi yatakuponza ujue! swali fupi majibu murefu namna iyo ujui kama King'asti ana IQ kubwa sana!
 
Last edited by a moderator:

Duh, hapa kweli umemwambia kike, akika kwa hizi strategies lazima asomeke tu!
 
Wanawake wabaya nyie! Sikutegemea, nataka ushauri. Nikimtega. Twende vakesheni si ataona nimekuuufa, ndio stakki hicho.

aisee hivi kumbe Kongosho yuko serious, ujue nilidhani masihara flani but now I can see how it's getting. Unajua tumekuzoea kivingine ndo maana watu wanaona kama sinema vile, pole mwaya! hope all goes well with you and your zombie
 
Last edited by a moderator:
aisee hivi kumbe Kongosho yuko serious, ujue nilidhani masihara flani but now I can see how it's getting. Unajua tumekuzoea kivingine ndo maana watu wanaona kama sinema vile, pole mwaya! hope all goes well with you and your zombie

eh!we ulifikir mi mpaka nauza ramani zetu za vita wazi wazi vile ulijua anatania!
ohoooo yuko verver serious!
s
 
eh!we ulifikir mi mpaka nauza ramani zetu za vita wazi wazi vile ulijua anatania!
ohoooo yuko verver serious!
s

akyanani nilijua utani, si unajua masihara yake anayofanyaga hapa! ila sasa nilivyosoma comments zako na replies zake ndo nikaamini, aisee mpeni hata kwa PM yale mambinu ya ndani ndani mnayotumiaga kutunasa
 
umeona enh jinsi anahtaji msaada enh!
ngoja nitakaa nae tuongee kwa undani!
chezeya
#team zombie!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…