af wewe!
hebu shiiiiip kwayat!
hujui tu vile konnie alivyo mahabani
ile tux yako si ako poa!
iandae bana!kitu kinapigwa ndoa muda si mrefu ujue!
HII SIRI NI MIMI TU NDO NIMEKUPAMO!
ukimwambia Kongosho nimesema shaurilo!
:tape::tape::tape::tape::tape:
mi hapo tu napokupendeaga!
yani unafanya ubishi kooooote kwa mwalimu unakuwa mtoto mzuri ajabu
sijui nikupe zawadi gani!lol!
Usisemeee apa mwalimu wangu...njoo PM...bhaas
Yanga Fan Loses It After Defeat By Simba YouTube - YouTubeNguruwe pita sina mkuki, on a serious note, nijiangushe? Heshima si itashuka jamani?
Mie nimeshachoka kucheza kidari po, tunahitaji ku-mark teritory, is it too much to ask?
ahahahhahahhahaha hapa hapa ndo pazuri banaaa!
Pm nani atajua kuwa mekupa zawadi nzuri!
Sa kwani hutaki watu wajue na wenyewe wawe motivated?
mi hata simwelewi zombie!Nguruwe pita sina mkuki, on a serious note, nijiangushe? Heshima si itashuka jamani?
Mie nimeshachoka kucheza kidari po, tunahitaji ku-mark teritory, is it too much to ask?
Haki ya Mama mi nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Zombie hajakuangusha..... sitakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
kwani we unajiona uko hai hapo!Wanawake wabaya nyie! Sikutegemea, nataka ushauri. Nikimtega. Twende vakesheni si ataona nimekuuufa, ndio stakki hicho.
ndo mana mi nilisema post yangu ya kwanza kabisa!Nilivyosema zombie ulidhani madogo? Yaani nina makubwa mbeleni, nashangaa tunaruka ruka tuuuu mara candle dinner mara swimming mara sijui shopping, jamani. Mie naona tunajishughulisha na vya pembeni tunaacha cha muhimu.
Sijui anasubiri nikubali kwa matarumbeta?
ndo mana mi nilisema post yangu ya kwanza kabisa!
MBAKE!enh!
hakyamama itabidi uache hiz bhangi zetu ili uwe kilady lady!
full kubana sauti na dinner za candle light!
tatizo zombie nae anajua sana unataka
anasubirije kuchukua pwenti zote tatu!
ahahahahahahhahhahaha LAZIMA UKAE!
mi hata simwelewi zombie!
sasa hata kama kulipizia si imeshatosha lakini!
ah!
kwani konnie zombie akija home anakukuta umevaa ile ovaroli yako au?