Nimegeuka Zombie

Nimegeuka Zombie

He he he, itabidi leo nipate darasa, vinginevyo mwenzenu nakuwa zombie hivi hivi

Au nimshawishi tusafiri vakesheni?? :embarrassed1::embarrassed1:
Mpeleke sehem tulivu candle design na maua kidogo na then vaa kiromantic bana nguo kama inataka kuanguka hivi aone vitu live na ile sex haswa udenda utamtoka tuu hata kama kasoma seminary
 
kweli ni zombie ....tena zombie origino siku zote yupo tuuu
 
He he he, itabidi leo nipate darasa, vinginevyo mwenzenu nakuwa zombie hivi hivi

Au nimshawishi tusafiri vakesheni?? :embarrassed1::embarrassed1:

Ameathirika sana na maharage ya mafuta ya taa, ebu mpigie vitu vya g-string uone atakavyowehuka
 
Ha ha ha ha, usilete masihara
Inadhi pale ushakubali afu mtu hausomi mchezo, si unajua mwanamke kujishaua sometimes, hasa kama unajiamini mhusika kafa kaoza :faint:

Kuna jamaa yangu alikuwa hivyo demu alishakubali analeta stori za majigambo kijiweni kumvua pichu anashindwa mwishowe mjanja mmoja kagegeda jamaa alilia sana
 
Huu ni mwendelezo wa zombie.

Sasa mie nina aibu sana, siwezi kusema ndio nimekubali, sasa na zombie anasubiri BIG YES kitu ambacho hawezi kukisikia kutoka kwangu. Nasubiri aniangusage tu si ni sambi zake mwenyewe, mie nimeshakubali lakini haelewi.

Sasa nijianguse tu? Au zombie kanigeuza zombie?

Kuna mshakunaku snowhite atalibebea bangoooooo

Ukijiangusa atakuona mayala , mwambie akuangusage tu...
 
Hili nalo wazo, ila naona nitaonekana am trying too hard.

Mpeleke sehem tulivu candle design na maua kidogo na then vaa kiromantic bana nguo kama inataka kuanguka hivi aone vitu live na ile sex haswa udenda utamtoka tuu hata kama kasoma seminary
 
Hili nalo wazo, ila naona nitaonekana am trying too hard.
nope just kwa mazungumzo na kujuana zaidi na zaidi
just a surprise atangulie sehem yeye na then wewe unafuata sio wewe utangulie maana itaonekana umeplan
 
Sema kasafiri, ila akirudi atanitambua, daym its so hard!

Heheh...hebu lazimisha mtoko basi wa kinguvu nguvu...halafu tafuta vile vivazi vya kichokozi...

Yaani Invizibpo angeniruhusu tu ningekupa twisheni kwa njia ya picha hapa...
 
Okay, nitajaribu hii

Yaani asipogindua siku hiyo nitapiga ukunga hapo hapo

nope just kwa mazungumzo na kujuana zaidi na zaidi
just a surprise atangulie sehem yeye na then wewe unafuata sio wewe utangulie maana itaonekana umeplan
 
Ha ha ha, kuna saa nawaza nivue shat tu from no where nini?

Heheh...hebu lazimisha mtoko basi wa kinguvu nguvu...halafu tafuta vile vivazi vya kichokozi...

Yaani Invizibpo angeniruhusu tu ningekupa twisheni kwa njia ya picha hapa...
 
Huu ni mwendelezo wa zombie.

Sasa mie nina aibu sana, siwezi kusema ndio nimekubali, sasa na zombie anasubiri BIG YES kitu ambacho hawezi kukisikia kutoka kwangu. Nasubiri aniangusage tu si ni sambi zake mwenyewe, mie nimeshakubali lakini haelewi.

Sasa nijianguse tu? Au zombie kanigeuza zombie?

Kuna mshakunaku snowhite atalibebea bangoooooo

Mtege tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom