Nimegeuka Zombie


Kongosho hebu chukua mipweinti hiyo kabla mimi na mtani hatujaweka oda ya viwalo swaaafi vya shughuli yako na zombie
 
Last edited by a moderator:
Kumbe hii kitu mapendo haina mbabe kabisa. Hata uwe strong vipi, ukifall in love unageuka laini kama mlenda!!! Pole my dia Kongosho!
yani ukisema mlenda watu wanaweza kufikir ni ule wa kingoni wenyewe tunaita lidelele(cc fixed point kwa picha ya ufafanuzi)
huu umlenda wa Kongosho kuhusu zombie walahi ni mlenda wa bamia tupu!
bila hata jani la maboga hata moja wala nyanya chungu!
 
Last edited by a moderator:
mi najua huyu mgumu haliki kirahisi,kweli ndege mjanja kanasa kwenye tundu bovu
we unaujua ule wimbo wa fugees wa killing me softly?
ehehheheheh basi ndo Kongosho alichokuwa anafanyiwa na zombie lake!
sa hz kashazimia,kafa,kazikwa,tushasoma arobaini,tunasubiri tuonane nae atakapofufuka siku ya harusi!
ahahhahahha hapo kidogo akili zitamrudia!ile like kheeee hiv kweeeli naolewa mimi na zombie!,basi haaaaya!
 
Last edited by a moderator:
hakyamama itabidi uache hiz bhangi zetu ili uwe kilady lady!
full kubana sauti na dinner za candle light!
tatizo zombie nae anajua sana unataka
anasubirije kuchukua pwenti zote tatu!
ahahahahahahhahhahaha LAZIMA UKAE!

. Kongosho kapatikana


Chezea zombie wewe....
 
Last edited by a moderator:

teh teh chelewa chelewa utakuta mwana si wako.!
na sura ya mbuzi ikiendelea ataona hata mpango huna na nyuma atageuka...
 
Last edited by a moderator:
khaaaaaaa!!!!!!!!!!! kweli hilo zombie aseeeeeh! siku zote hizo hajakutusua tu?
 
Kongosho umekuwaje? huyo zombie....ni mpango wa kando? just in case

CC Asprin

af wewe!
hebu shiiiiip kwayat!
hujui tu vile konnie alivyo mahabani
ile tux yako si ako poa!
iandae bana!kitu kinapigwa ndoa muda si mrefu ujue!
HII SIRI NI MIMI TU NDO NIMEKUPAMO!
ukimwambia Kongosho nimesema shaurilo!
 
Last edited by a moderator:
Haki ya Mama mi nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Zombie hajakuangusha..... sitakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Nyie watu mna visa sana


Leo umekula zile mbegu????
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…