Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,255
Hahaha basi ndo wa mikoani mnajifariji hv.....usije mjini dsm kugumu.Sijui lini Wanaume wa Dar wataacha kudhihakiwa humu
Hehehe, ndo wale wanaosema "mama clareee funika tulale" au sio mkuu?.Daaaa! Wanywa pombe kazi wanayo.
Huyo mamsapu atakuwa wa Tarakea au Usseri kama sio mashati.
Huyu mwanaume atakuwa wa Dar, wanaume wa mikoani wanakunywa ulanzi,mnazi,mbege nk. na mashine nguvu ile ile..