OFISI INAUZWA

OFISI INAUZWA

G-stev

Member
Joined
Aug 24, 2020
Posts
21
Reaction score
25
Habari wana Jamii forum.
Nauza ofisi yangu ya Juisi na Bites ipo Dar kijichi. Kodi ya frem bado haijaisha.
Bei ni 2M
Ofisi Ina vitu vifwatavyo:
1. Freezer 200L
2. Blender na jagi
3. Mashine ya popcorn
4. Counter ndogo na shelf ndogo mbili
5. Viti viwili virefu
6. Benchi za mito nne
7. Meza ndogo nne
8. Vyombo kama ndoo, beseni, glass n.k
9. Strip light moja ya mita 5
10. Feni kubwa la juu

Mawasiliano
0669006325
 
Ungeweka picha mkuu hii biashara haivuki masaa 24 utakua umeshapata mteja
 
Back
Top Bottom