Nimefuta na kublock namba 50 kwenye simu yangu za wanaojiita marafiki zangu

Makosa nayoyaona mimi;
1. Kuwa na marafiki wengi, huwezi kuwa na marafiki wote hao. Labda useme ni watu tu mnawasilina lakini marafiki kama marafiki huwa ni idadi ndogo sana, labda watano tu.
2. Kufanya huku ukisubiri fadhila, kama ni mtu wa kusaidia huna haja ya kuangalia nimemsaidia nani kwa ajili gani na atanipa nini nikipata majanga.
3. Unasaidia kupitiliza, watu wengi hivyo unajitoa kwao? Ni wengi mno...
Marafiki 50 nilishtuka maana hata watu nakutana nao mara, kwa mara hawafiki hiyo idadi

Licha ya yote alichofanya ni muhimu sana haswa kwa yeye ambaye ameweka life yake kama open book ndio maana wengi wana access nalo lakini pia,
Muhimu asiwafungie watu vioo jumla ila Tu aweke mipaka

Kuna mtu unatakiwa kujuana nae tu kama CONNECTION za mjini, wengine wa kurefresh na wale ambao ni ride or die ambao ukipata tatizo wapo na wewe. Aina hii ukipata hata wawili au watatu bhasi umebahatika sanaaaaa
 
Last week siku ya tarehe 31 December, nilipanga nifanye tathmini ya aina ya marafiki zangu nilionao. Kiukweli mimi ni mtu wa kujitoa sana when it comes to matatizo ya wenzangu wanaonizunguka, nikisikia msiba wa rafiki ntaubeba kama wetu vile, rafiki akiniomba kitu kama kiko ndani ya uwezo wangu lazima nimsaidie.

Lakini recently kuna viashiria niliviona vikanistua mpaka nikaamua kuwafanyia tathmini marafiki zangu.

So tarehe 31 December 2022, nilijifungia ndani siku nzima, nikaanza kuwapigia rafiki zangu simu kuwaomba msaada kuwa nimepatwa na majanga flani nimetaitiwa na polisi so kuna kiasi flani cha kama elfu 50 kimenipelea hivyo naomba msaada then next day narudisha.

Ebana huwezi amini wale niliokua nawachukulia kama washkaji zangu hakuna hata aliyejigusa na mimi. Ila kuna mdau mmoja tena ni fundi ujenzi nae niliona nimpime coz huwa ananipiga vizinga vya hapa na pale ndiye aliyejitutumua akanitumia elfu 10 akaniambia hiyo nyingine hana nijaribu kucheck wadau wengine.

Na kuna demu mama ntilie nae nilikua nagonga kipindi flani huko nyuma nae akaniwezesha elfu 15, ila hawa washkaji tunaokaa nao kwenye viti virefu hakuna hata aliyeuliza hao polisi wamenitait kwa issue gani!

Kwa kweli hili jambo lilinitafakarisha sana aina ya watu ninaomingle nao katika maisha yangu. Nilichoamua niliblock number zao na kuzifuta kabisa, maana haina haja ya kuendelea kuongozana na watu wa aina hiyo.
Yani ndo umejua leo? Anyways hongera sana KWA uamuzi mzuri
 
Walevi sio watu wazuri. Wanapendana kwenye pombe tu.

Mlevi anaweza kupiga pombe za elfu 30 harafu akirudi nyumbani anakuomba umwazime elfu tano ya umeme.

walevi sio watu in Steve's voice
Last week siku ya tarehe 31 December, nilipanga nifanye tathmini ya aina ya marafiki zangu nilionao. Kiukweli mimi ni mtu wa kujitoa sana when it comes to matatizo ya wenzangu wanaonizunguka, nikisikia msiba wa rafiki ntaubeba kama wetu vile, rafiki akiniomba kitu kama kiko ndani ya uwezo wangu lazima nimsaidie.

Lakini recently kuna viashiria niliviona vikanistua mpaka nikaamua kuwafanyia tathmini marafiki zangu.

So tarehe 31 December 2022, nilijifungia ndani siku nzima, nikaanza kuwapigia rafiki zangu simu kuwaomba msaada kuwa nimepatwa na majanga flani nimetaitiwa na polisi so kuna kiasi flani cha kama elfu 50 kimenipelea hivyo naomba msaada then next day narudisha.

Ebana huwezi amini wale niliokua nawachukulia kama washkaji zangu hakuna hata aliyejigusa na mimi. Ila kuna mdau mmoja tena ni fundi ujenzi nae niliona nimpime coz huwa ananipiga vizinga vya hapa na pale ndiye aliyejitutumua akanitumia elfu 10 akaniambia hiyo nyingine hana nijaribu kucheck wadau wengine.

Na kuna demu mama ntilie nae nilikua nagonga kipindi flani huko nyuma nae akaniwezesha elfu 15, ila hawa washkaji tunaokaa nao kwenye viti virefu hakuna hata aliyeuliza hao polisi wamenitait kwa issue gani!

Kwa kweli hili jambo lilinitafakarisha sana aina ya watu ninaomingle nao katika maisha yangu. Nilichoamua niliblock number zao na kuzifuta kabisa, maana haina haja ya kuendelea kuongozana na watu wa aina hiyo.
 
Kama rafiki humwelewi (Mpunguze)
Kuropoka ropoka hachelewi (Mpunguze)
Ukimwona sio (Mpunguze)
Anapenda mademu wa mwenzie (Mpunguze)
Anapenda bata hana kazi (Mpunguze)
Rafiki gani mduanzi (Mpunguze)
Rafiki gani kwenye raha (Mpunguze)
Kwenye shida mbali anakaa (Mpunguze)
Na mwenye maneno ya shombo kama wewe hapa MMU wakupunguze?

Marafiki sio lazima wakufae kwa jambi tu. Hata humu MMU hatufahamiani lakini tunaelewana na kufurahia mastori
 
Last week siku ya tarehe 31 December, nilipanga nifanye tathmini ya aina ya marafiki zangu nilionao. Kiukweli mimi ni mtu wa kujitoa sana when it comes to matatizo ya wenzangu wanaonizunguka, nikisikia msiba wa rafiki ntaubeba kama wetu vile, rafiki akiniomba kitu kama kiko ndani ya uwezo wangu lazima nimsaidie.

Lakini recently kuna viashiria niliviona vikanistua mpaka nikaamua kuwafanyia tathmini marafiki zangu.

So tarehe 31 December 2022, nilijifungia ndani siku nzima, nikaanza kuwapigia rafiki zangu simu kuwaomba msaada kuwa nimepatwa na majanga flani nimetaitiwa na polisi so kuna kiasi flani cha kama elfu 50 kimenipelea hivyo naomba msaada then next day narudisha.

Ebana huwezi amini wale niliokua nawachukulia kama washkaji zangu hakuna hata aliyejigusa na mimi. Ila kuna mdau mmoja tena ni fundi ujenzi nae niliona nimpime coz huwa ananipiga vizinga vya hapa na pale ndiye aliyejitutumua akanitumia elfu 10 akaniambia hiyo nyingine hana nijaribu kucheck wadau wengine.

Na kuna demu mama ntilie nae nilikua nagonga kipindi flani huko nyuma nae akaniwezesha elfu 15, ila hawa washkaji tunaokaa nao kwenye viti virefu hakuna hata aliyeuliza hao polisi wamenitait kwa issue gani!

Kwa kweli hili jambo lilinitafakarisha sana aina ya watu ninaomingle nao katika maisha yangu. Nilichoamua niliblock number zao na kuzifuta kabisa, maana haina haja ya kuendelea kuongozana na watu wa aina hiyo.
Mim hua siblock hua nafuta siku akipiga nauliza we nani akiuliza kwani huna namba angu namwambia nilifuta kwa sabb fulani.
Kama ni mtu anajua kukubali kosa ataomba samahani urafik uendelee kama siyo basi na akwendreeeeh
 
Blocking a number ni utumwa flani hivi. Kina dada ndio hufanya hivyo especially kama kuna mwanaume anasumbua sana

Mtu kama huna mpango nae sasa na hata baadae na ulishaona hana mpango na wewe , just futa hiyo namba. Chances are hatokupigia kabisa. Siku akipiga ukamuuliza yeye ni nani kama ana akili itakuwa mwisho wa yeye kukupigia
 
Una marafiki 50?
Au huwa unajichekesha kwa watu na wakitoa positive response unaanza kuwaita marafiki. Nina watu ninaofahamiana nao wengi na naongea na wengi ila sina marafiki zaidi ya 10. Na siombiombi hela kwa marafiki, sio donors hao. Huwezi pima urafiki kwa kuomba hela tena ukitarajia upewe instantly
Urafiki maandazi nilisha ukataa ,Mimi nilishaweka mipaka kuna watu wakupiga nao stori vitu vingine siwahusishi na kuna watu naweza kuwaeleza shida nao hawazidi watatu
 
Last week siku ya tarehe 31 December, nilipanga nifanye tathmini ya aina ya marafiki zangu nilionao. Kiukweli mimi ni mtu wa kujitoa sana when it comes to matatizo ya wenzangu wanaonizunguka, nikisikia msiba wa rafiki ntaubeba kama wetu vile, rafiki akiniomba kitu kama kiko ndani ya uwezo wangu lazima nimsaidie.

Lakini recently kuna viashiria niliviona vikanistua mpaka nikaamua kuwafanyia tathmini marafiki zangu.

So tarehe 31 December 2022, nilijifungia ndani siku nzima, nikaanza kuwapigia rafiki zangu simu kuwaomba msaada kuwa nimepatwa na majanga flani nimetaitiwa na polisi so kuna kiasi flani cha kama elfu 50 kimenipelea hivyo naomba msaada then next day narudisha.

Ebana huwezi amini wale niliokua nawachukulia kama washkaji zangu hakuna hata aliyejigusa na mimi. Ila kuna mdau mmoja tena ni fundi ujenzi nae niliona nimpime coz huwa ananipiga vizinga vya hapa na pale ndiye aliyejitutumua akanitumia elfu 10 akaniambia hiyo nyingine hana nijaribu kucheck wadau wengine.

Na kuna demu mama ntilie nae nilikua nagonga kipindi flani huko nyuma nae akaniwezesha elfu 15, ila hawa washkaji tunaokaa nao kwenye viti virefu hakuna hata aliyeuliza hao polisi wamenitait kwa issue gani!

Kwa kweli hili jambo lilinitafakarisha sana aina ya watu ninaomingle nao katika maisha yangu. Nilichoamua niliblock number zao na kuzifuta kabisa, maana haina haja ya kuendelea kuongozana na watu wa aina hiyo.
Baada ya kufuta ukachukua maamzi gani mengine
 
Mimi Nina rafiki mmoja huyo ni yesu tu anifaaye maishani ❤️
 
Nimejaribu kupiga hesabu hapa!!
50000×50=2,500,000/ hiyo ndio pesa ulilenga kupata kwa kutumia uongo kweli?? Hiyo pesa ni nyingi Sana ndugu ukizingatia ulikua ni mwisho wa mwaka kila mmoja anahangaika familia yake iweze kupata chochote Cha mwaka mpya wengine Kama ni mishahara waliyopokea tarehe 23 tayari ilikua imeisha siku ya Xmas!!
Ndugu ulilenga faida kubwa duh! Bora hata ungeomba 5000 mtu anaweza kufumba macho.
Jaribu hizo mbinu miez ambayo haiko tight Kama mwezi December, January. Miezi hiyo ukiniomba hela binafsi Kama sio suala la kifo/ ugonjwa sikupi hata sh 10.
 
Last week siku ya tarehe 31 December, nilipanga nifanye tathmini ya aina ya marafiki zangu nilionao. Kiukweli mimi ni mtu wa kujitoa sana when it comes to matatizo ya wenzangu wanaonizunguka, nikisikia msiba wa rafiki ntaubeba kama wetu vile, rafiki akiniomba kitu kama kiko ndani ya uwezo wangu lazima nimsaidie.

Lakini recently kuna viashiria niliviona vikanistua mpaka nikaamua kuwafanyia tathmini marafiki zangu.

So tarehe 31 December 2022, nilijifungia ndani siku nzima, nikaanza kuwapigia rafiki zangu simu kuwaomba msaada kuwa nimepatwa na majanga flani nimetaitiwa na polisi so kuna kiasi flani cha kama elfu 50 kimenipelea hivyo naomba msaada then next day narudisha.

Ebana huwezi amini wale niliokua nawachukulia kama washkaji zangu hakuna hata aliyejigusa na mimi. Ila kuna mdau mmoja tena ni fundi ujenzi nae niliona nimpime coz huwa ananipiga vizinga vya hapa na pale ndiye aliyejitutumua akanitumia elfu 10 akaniambia hiyo nyingine hana nijaribu kucheck wadau wengine.

Na kuna demu mama ntilie nae nilikua nagonga kipindi flani huko nyuma nae akaniwezesha elfu 15, ila hawa washkaji tunaokaa nao kwenye viti virefu hakuna hata aliyeuliza hao polisi wamenitait kwa issue gani!

Kwa kweli hili jambo lilinitafakarisha sana aina ya watu ninaomingle nao katika maisha yangu. Nilichoamua niliblock number zao na kuzifuta kabisa, maana haina haja ya kuendelea kuongozana na watu wa aina hiyo.
Pole kama unasaidia wenzako Ili nawe wakusaidie basi ni Bora usitoe msaada
 
Huenda kuna mambo wanayopitia sio lazima wakuelezee maana inategemea wako mazingira gani !

Ulichofanya ni immaturity.

Don’t judge easily!
 
Aliomba hela au alikua anaomba msaada wa kifedha kutatua tatizo alilonalo?, aina yako ndio hua mnajua mtu ana shida akili yako unawaza tu kwamba anataka hela, hauwazi kua rafiki yangu huyu anahitaji msaada wa shida aliyonayo..
Hujawahi patwa na matatizo wewe, unajiona mungu sio,
Mwendo ule ule tu kublock na kufuta takataka ambazo hazina msaada kwenye maisha.
Siwezi kuwa na namba ya mtu kama wewe, utaniblock na sina mpango wa kukupigia. Yani niwe na mtu nampima urafiki kwa kuomba hela nikiwa na shida, asiponipa instantly niseme sio rafiki yangu? Huo si utoto sasa.
We umejuaje kama ana hela muda huo? Kama ni lazima awe na hela muda huo kwa ajili yako kwanini usiwe na hela muda huo kwa ajili yake au kwa ajili ya rafiki mwingine?

Unamuomba 50k ya haraka hana, muda huohuo ukiombwa 50k na rafiki yako mwingine akakuta huna basi naye afute namba yako? Marafiki zako wana hasara
 
Kuna watu wengina wanawapima mademu zao uaminifu. Guys hii kitu siyo ya kufanya kabisa unaweza kuja kujuta baadae. Wewe kama mwanaume pambana kivyako, acha kulia lia. Mwanaume hana rafiki
Imagine mtu una mtongoza dem wake kwa no nyingine na dem ana jibu yuko single ndo mwanzo wa kupunguza upendo
 
Back
Top Bottom