Nimefuta Biblia kwenye simu yangu

View attachment 2099557
Sasa nimeamini kuwa dini ni kwaajili ya maskini na waoga tu.

Mpaka leo hakuna mwanadamu au kitu chochote ikiwemo Mungu alitethibitisha kuwa Mungu yupo.

Kila mtu atakuthibitishia kwa maandiko ambayo yameandikwa kwa mkono wa mtu.

Ukiondoa maandiko hakuna mtu wa dini kukuthibitishia uwepo halisi wa Mungu.

Waislamu kwa kitabu chao watakuthibutishia uwepo wake, Wahindu, Wabudha, Waktisto n.k watakuthibutishia uwepo wa Mungu kwa maandiko na hadithi tu ila hawataweza kukuthibitishia kwa njia nyingine ya reality.

Kwa taabu wanazopata watu duniani ni kama nature ndio inatawala.

Haiwezekani Mungu ambaye wanasema aliupenda ulimwengu aruhusu vita, ubakaji, kuchinjana, kudhulumiana, ufukara, njaa n.k huku hivyo vitu ni vidogo kwake angevikomesha ndani ya sekunde.

Je, Mungu kazidiwa utu na upendo na mwanadamu?

Hii amani na hali ya maendeleo tunayoiona ni fikra na utu wa binadamu kwa ulimwengu.

Binadamu anaunda mabaraza ya kitaifa kupambana na majanga mbalimbali, pasipo na haya mabaraza Dunia isingekalika kabisa kwa idadi hii ya watu ilivyo kwa sasa.

Illusion ndizo zinatawala watu ndio maana kila dini na dhehebu wanajiona kuwa wako sahihi na wana ushahidi kuwa dhehebu lao ndilo sahihi mbele za Mungu na wao tu ndio wataingia mbinguni au peponi.
View attachment 2099556
Duh hatari kubwa japo pumzi ndio inakupa jeuri ya kusema hayo yote
 
Mbona unapambanisha sayansi na dini mkuu? Dini haifanyi kazi ambazo sayansi inajihusisha nazo na wala sayansi haifanyi kazi inazojihuaisha na dini.

Unasema dini imeuwa watu wakati huo huo watu kwa kutumia sayansi ndio wanavumbua misilaha hatari kila leo na zote ni kwa ajiri ya kutumika kwa binaadamu na wenyewe huwa tunasifia kabisa kuwa nchi fulani ni noma ana silaha za kisasa, sasa hapo mkuu tutasema sayansi ni mbaya au ni matumizi mabaya ya sayansi ila dini ndio uonekana mbaya.
Tangu zama za kale vita nyingi zilikua kwaajili ya kumiliki..ardhi..na kusambaza dini husika..

Silaha kutengenezwa na sayansi..ni matakwa ya kiimani kujilinda au kisiasa..kinachowatesa nchi za mashariki ya kati na kwengineko kupitia magaidi..ni power ipi ipo nyuma inayodrive hayo mapambano kama sio dini?

#MaendeleoHayanaChama
 
Kuamn hakuna mungu wala hakuna pepo na moto ni dalil thnkn capacity yko mzee ndog au unafkir juu juu sana km hakuna mungu mbingu ardh bahar na wanaadam vyt vlitokan na nn kadharka jua na mwez vltokea tu??

Ama kwa kuptia kwko ugm wa maisha na ukiona wngne wananeemeka au kptia kwko uzur wa maisha wngne wnakula msoto ndo dalil kua mungu akuna ulitak pak kila anaeamka akute kilo ya nyama na mchele langon na pesa ya ktmia ndio akil yko inaona hp kungkua na mungu?

Si waislam jpo sio ote ila wachache mungu aliowafungulia ufaham bas wanajua mungu aliumba dunia na anavruzuku vliop ndan lakn kapafnya dunian ni chumba cha mtian kwaiy tuburuzane tudanganyw tuuane ila final ataefaul ataend.

Pepon ataefel ataend moton ucfkr uliumbw tu uje kuoa na kustareh na ndoman ht mitume wameptia kash kash nying na walkua hawana mali na walkua wanaletew malaika na ujumbe kutoka kwa mungu hakn aliomba mal wala anasa kwakua waljua dunia unapta lakn dunian ndio pakutngnzea makaz mema so bro thnk deeply uliumbwa kwa sbb na ndioman mwenyez akasistz sn kutafta elim ili ujtambue ujijue na ujue kwa nn upo hapa.

Quraan aijaandkwa na mtu ila ilishukakwa mtume aliekua ajui kusoma wala kuandka ila waliokalilshwa baad ya kuona wanakufa waliohfadh mfano km vtan au maradh ndpo walipoanza kuifadh kwa kuandka kwny mawe kuta ngoz vzaz viliokuj vkakusanya na kuinakil kwa mfum wa ksas wa vtab
Nyie watu mnaoamini dini mna vituko sana kwahiyo wewe una amini kabisa Dunia,Nyota,jua,mwezi viliumbwa na huyo Mungu au sio?
Hahahaha wewe ndugu hivyo vitu havijaumbwa na kiumbe yeyote anayeitwa Mungu mna Elimu duni sana niamini Mimi huu ujuha waliamini watu wa kale wasio jua lolote kuhusu ulimwengu
Na Bado mpaka Leo Karne ya 21 unaamini kabisaaaaa

Hivi vituko aiseee hivi nyie hizo dini zimewapumbaza kiasi Gani halooo!
🤔🤔🤔🤔
 
Tangu zama za kale vita nyingi zilikua kwaajili ya kumiliki..ardhi..na kusambaza dini husika..

Silaha kutengenezwa na sayansi..ni matakwa ya kiimani kujilinda au kisiasa..kinachowatesa nchi za mashariki ya kati na kwengineko kupitia magaidi..ni power ipi ipo nyuma inayodrive hayo mapambano kama sio dini?

#MaendeleoHayanaChama
Silaha zinatengenezwa ili kuuzwa na watu wanatajirika hata hao unaosema wanapigana kwa sababu za dini hawatengenezi wenyewe silaha bali wananunua ila hao wanaowauzia hawaonekani kuwa wabaya. Dunia yetu hii tumewahi kuwa hadi na vita mbili za dunia na si kwa sababu ya dini na silaha zilizotumika kuulia watu ni katika matunda ya sayansi, leo huko marekani kununua silaha ni kama kununua pipi na matokeo yake watu wanauwana tu kuna biashara nzuri sana kwenye uuzaji wa silaha ila haya wewe huyaoni unawaangalia waarabu tu huko ambao wanauziwa silaha ili wakauwane.
 
Kwaio waarabu wapo sahahi?
Wamarekani hawapo sahihi?
 
Nyie watu mnaoamini dini mna vituko sana kwahiyo wewe una amini kabisa Dunia,Nyota,jua,mwezi viliumbwa na huyo Mungu au sio?
Hahahaha wewe ndugu hivyo vitu havijaumbwa na kiumbe yeyote anayeitwa Mungu mna Elimu duni sana niamini Mimi huu ujuha waliamini watu wa kale wasio jua lolote kuhusu ulimwengu
Na Bado mpaka Leo Karne ya 21 unaamini kabisaaaaa

Hivi vituko aiseee hivi nyie hizo dini zimewapumbaza kiasi Gani halooo!
🤔🤔🤔🤔
Bora uamin alaf ufate alaf siku ikitokea unakuta mungu ayup km unavoamn ww sio mby utopungukiwa ktu sas asume umeamn km unavoamn wew alaf umeish km mnyama final unakuta mungu yupo na auna jema lolot uliofany itakuaje c hasara alaf knachokushnda ww unatak uish km wazungu ila mungu alileta din as a user manual ili ufate instructions upate kufaul sio ukifat au ucpofat ye hana shida anajtosha sie ndio weny kuhtajia ht mjapan anaunda gar ila anakup muongozo umwage oil na muongoz wa safety lakn gar lako mwenyew lakn ili lidum na ww lisikuletee tab lazm ufate user manual ya factory sas unaona ajab vp mungu kakuumba ww na akakupa muongozo ufate upate kufaul? Din isio na shaka ni uislam wenye kusirim ni wenye akil kasome na angalia vtab vyote utagndua kisio na shaka ni quraan fata muongozo kuna makusudio ya kuumbwa
 
Kwaio waarabu wapo sahahi?
Wamarekani hawapo sahihi?
Hao waarabu wanaouwana iwe kwa kutumia dini au ukabila hawako sahihi ila na wamarekani wanaowaizia hizo silaha pia hawako sahihi na ndio wabaya zaidi huwezi ukawa unatengeneza kitu ambacho unajua kabisa kinaenda kutumika kwa mauwaji.
 
Hata ukiwa na uthibitibo huwezi kuwa na shaka
Hapana, unajua kabisa kwamba kuna uwezekano wa kufojiwa kwa ushahidi hivyo unaweza ukapewa uthibitisho wa jambo ila ukawa unafikiria kuwa asije akawa kafojisha hivyo ukawa una mashaka pamoja na kuwa una uthibitisho.

Kwahiyo uthibitisho unaweza ukakuondolea mashaka ila unaweza ukabaki na mashaka hali ya kuwa uthibitisho upo.
 
Unahaki ya kusema walio kinyume na imani yako ni wapagani na kwa ulivyo jinasibu kua wewe ni muislamu wala sishangai

Kwasababu maneno ya namna hiyo yameanzia ndani humo humo kabla hyajawafikia wengine wasio husika na imani yao

Hata humu JF kuna member anajita Mubarridi aliwahi kumtamkia Mokaze kua ni kaffir

Na wote humu tunajua huyo jamaa aliyeitwa kaffir ni muislamu pia, ila nilichokuja kugundua ni kwamba yupo dhehebu tofauti na mdau, lakini hiyo pekee ya kuwa muislamu haikutosha kumfanya aepukane jina hilo ambalo absolutely hakulifurahia hata yeye

Sasa sembuse mimi ambaye sina asilimia yeyote nayo kubaliana naye?

Wewe ukiniita mimi mpagani unakuwa umesalimika kwa upande wangu nikiwa na maana siwezi kukuita mpagani kwasababu siamini katika dini, ila watu walio kinyume na dini yako lazima wakuhesabu kama mpagani, ni hivyo tu.
Sijaelewa hoja yako.

Kwa kifupi ni kuwa mimi naona dini ina maslai mapama katika maisha ya mwanadamu.Iwe Islam iwe Hindu na hata Feeemason.

Upagani hauna faida yotote kwa mwanadamu.Ni hilo tu
 
Hapana, unajua kabisa kwamba kuna uwezekano wa kufojiwa kwa ushahidi hivyo unaweza ukapewa uthibitisho wa jambo ila ukawa unafikiria kuwa asije akawa kafojisha hivyo ukawa una mashaka pamoja na kuwa una uthibitisho.

Kwahiyo uthibitisho unaweza ukakuondolea mashaka ila unaweza ukabaki na mashaka hali ya kuwa uthibitisho upo.
hivi unaelewa uthibitisho una hakikiwa?
 
Sijaelewa hoja yako.

Kwa kifupi ni kuwa mimi naona dini ina maslai mapama katika maisha ya mwanadamu.Iwe Islam iwe Hindu na hata Feeemason.

Upagani hauna faida yotote kwa mwanadamu.Ni hilo tu
Maslahi yapi?

Nimekuonesha hapo kina king lepold ii namna alivyoua mamilioni ya watu kwa kutumia vifungu vya biblia, je hiyo kwako unaona ina maslahi?

Sijui kwanini unatumia neno "upagani" unapojadiliana na mimi atheist wakati kimsingi neno "mpagani" humuwakilisha mtu anaye abudu miungu potofu
 
Sasa tutumie neno kuwaita watu wanaompinga Mungu zaidi ya wapagani??

Faida ya dini iwapo Mungu yupo au hayupo ni kuimarisha maisha ya kijuimuiya ( Community ties).Binadamu ili aishi maisha ya furaha ni lazima awe karibu na wenzake.Upagani unapinga watu kujumuika.Wapagani hawana makanisa wala jumuiya.Wanakutana Online kupinga Mungu.Je misiba ya kipagani imaendeshwaje? NDOA ZAO zinaendeshwa kwa taratibu gani?

UPAGANI NI TAKATAKA
 
Kwa hiyo mkuu unaamini dunia, binadamu, wanyama na kila kilichomo vimetokea by chance, yaani nature ndo imeamua binadamu, wanyama na viumbe wengine watokee from nowhere.........kuwa makini kuhusu mitazamo yako, na tambua uwepo wa Mungu Mkuu kwa kujifikiria tu mwenyewe namna ulivyojikuta tu unaishi na kuwa na sifa zote za mwanadamu, jambo ambalo ni muujiza...........​
 
Bora uamin alaf ufate alaf siku ikitokea unakuta mungu ayup km unavoamn ww sio mby utopungukiwa ktu sas asume umeamn km unavoamn wew alaf umeish km mnyama final unakuta mungu yupo na auna jema lolot uliofany itakuaje c hasara alaf knachokushnda ww unatak uish km wazungu ila mungu alileta din as a user manual ili ufate instructions upate kufaul sio ukifat au ucpofat ye hana shida anajtosha sie ndio weny kuhtajia ht mjapan anaunda gar ila anakup muongozo umwage oil na muongoz wa safety lakn gar lako mwenyew lakn ili lidum na ww lisikuletee tab lazm ufate user manual ya factory sas unaona ajab vp mungu kakuumba ww na akakupa muongozo ufate upate kufaul? Din isio na shaka ni uislam wenye kusirim ni wenye akil kasome na angalia vtab vyote utagndua kisio na shaka ni quraan fata muongozo kuna makusudio ya kuumbwa
Hakuna kiumbe alimuumba Humanoids yeyote hizo hekaya za wayahudi na waarabu peleka Huko huko makanisani na misikitini kwenu
Huko
Yaani Leo nyie Zamadamu wa Oldupai gorge mlioishi miaka millions
Leo mnadai mliumbwa na Mungu miaka 6000 BC hapo huoni kiroja hicho?
😁😁😁
 
Kwa hiyo mkuu unaamini dunia, binadamu, wanyama na kila kilichomo vimetokea by chance, yaani nature ndo imeamua binadamu, wanyama na viumbe wengine watokee from nowhere.........kuwa makini kuhusu mitazamo yako, na tambua uwepo wa Mungu Mkuu kwa kujifikiria tu mwenyewe namna ulivyojikuta tu unaishi na kuwa na sifa zote za mwanadamu, jambo ambalo ni muujiza...........​
Hakuna muujiza hapo wajinga tu ndio wanaoamini habari za kuumbwa na kiumbe anaitwa Mungu
wakati wa formation ya galaxy yetu ya Milkiway jua lilijikuta limekaa katika Habitable zone
Huo ukanda upo kwenye Kila Galaxies
Hii Dunia ikaangukia katika eneo hai yaani Sayari ya tatu Toka jua kimahesabu ukiipiga utaona ni eneo linalosapoti viumbe hai automatically Kwa nguvu za Asili na sio Dunia tu katika matrillion ya Galaxies Kuna habitable zone na Kuna Sayari zinasifa Sawa na Dunia mpaka Sasa wanasayansi wameigundua Moja
Kepler 452- B
Hiyo ipo umbali wa 4 light years kutoka duniani kiasi kwamba Kwa teknolojia yetu ya spacecraft hatuwezi ifikia
Hivyo mnavyokuja na nadharia za Dunia kuumbwa muwe mnaangalia upande wa pili Huku!
 
Back
Top Bottom