Nimefurahishwa na tabia ya mpenzi wangu

Nimefurahishwa na tabia ya mpenzi wangu

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,245
Reaction score
2,856
Habari za siku nyingi wana Jamii Forums

Nina siku mbili niko nyumbani nikiwa natokea safarani katika shughuli za kimaendeleo ambazo zilinilazimu kusafiri na kutoweka maeneo ya nyumba kwa mda wa miezi minne.

Siku ya jana niliamua kwenda kumtafuta mpenzi wangu ambaye bado anaishi kwao na nilipingia simu kwa kumsihi zaidi afanye liwezekanalo tukutane

Kweli nilifanikiwa kukutana naye, kwa kweli hali ambayo nimemukuta nayo namefurahishwa sana nakuamini ya kwamba hakuwahi kuchepuka tangu nitoweke maeneo yale.

Mpenzi wangu nimejionea kwa macho yangu ya nyama yaani tangu nisafiri hadi leo hajawai kufyeka nyasi katika shamba lake la thamani, na hakutaka kufyeka hadi jana aliponifanyia suprise.
kwa kweli nimefurahishwa sana na saprize hiyo.

Nakupenda sana kipenzi na changuo la moyo wangu.

NB:Wanawake wote ambao wapenzi wenu wamesafari jaribuni kutumia hiyo njia mtaniletea feedback,
 
:lol: Wanawake mnashauriwa kubaki na majani na magugu kisa muaminiwe! loh ushauri mwingine bwana!.

Huyo mpenzio ni mchafu tu, hivi utatembeaje na kichaka kisa uonekane hujagawa pauchi??? huo ni utumwa.
 
Mshauri mpenzi wako auhifadhi huo msitu kwa ajili ya shughuli za kitalii, maonyesho ya sabasaba bila kusahau kuhifadhi mazingira na kudumisha uoto wa asili......na baadae mnaweza mkavuna mbao na kujiongezea kipato.....
 
Wewe unafurahia jambo usilolijua, hivi kufuga mavuzi ni ishara kuwa demu wako hagegedwi! wanawake wangapi wanagegedwa wakiwa na msitu wa mavuzi, acha utoto wa kujisifia mambo ya kijinga
 
Huyu atakuwa amevuta magugu/majani kabla ya kupost
 
Mshauri mpenzi wako auhifadhi huo msitu kwa ajili ya shughuli za kitalii, maonyesho ya sabasaba bila kusahau kuhifadhi mazingira na kudumisha uoto wa asili......na baadae mnaweza mkavuna mbao na kujiongezea kipato.....

Hahahaha!!Hehehehehe!!Wew ni,,,,,,,,,mkuu
 
Back
Top Bottom