Uchaguzi 2020 Nimefurahi wimbo huu kuwa rasmi wa kampeni CHADEMA

Una impact gani? Maana Chadema hii haitakasiki hata ka mafuta ya mawese.
Haahaaa mtani mgombea wenu anatoka lini gereji? Lissu ni msafi hana skendo hta robo mlidhani atapitishwa Nyalandu ili mumchafue ni jangili? Poleni sana mwaka huu hamkutegemea kampeni zingekua ngumu hivi
 
Gereji ipi? Leo alikuwa ikulu Dar es salaam anachapa kazi. Mpaka sasa Ccm ina uhakika wa 79.5%, siku zilizobaki ni kuongeza idadi ya kura tu.

Lissu ni msafi ila chama alichogombea wananchi hawana imani nacho tena.
 
Makamanda wimbo unaitwaje maana hapa inagoma kufunguka nataka nikauone youtube au wekeni link ya youtube
 
Huu wimbo utawainua sana machadema kama maccm kupitia kwa yule malaika wao mkuu hawataagiza ufutwe kwenye vichwa vya watanzania
 
Back
Top Bottom