Forrest Gump
JF-Expert Member
- Jul 2, 2021
- 583
- 1,266
America this, America that...
Mara utasikia;
Death to America, Death to Israel...
Kwa miongo na miongo utawala wa Iran una fanya kila kitu kuhakikisha wananchi wao waamini kuwa Marekani na Israel ndio adui wao wa maendeleo na ustawi, lakini kiuhalisia utawala wa Iran ndio adui wa kwanza wa wananchi wao.
Moral guardians wamempiga binti hadi kufariki kisa tu ya nywele zake kuonekana, sasa wananchi wamejitosa kuonesha kuwa sio haki, wakiwemo wamama na mabinti wakivua hijab zao.
Nchi za KiPersia na KiArab zinaminya haki za wanachi zao na itikadi zao ni za udini.