Iran: Baba wa ugaidi, Engineer wa Jihad, Mpotoshaji wa Waislam

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,310
4,017
Hivi karibuni Wananchi wengi wa Iran walianza kusanuka na system iliowajenga kwa miaka na miaka. Wamekuja kugundua wao wanatumika kama instruments za sera za chuki na unyonyaji za mamlaka ya Iran.

Wamekuzwa na kufunzwa kuwa adui wao ni Israel na Marekani na wametengenezwa kwa namna ya kuwa vita yoyote dhidi ya mtu asie muislam kama wao basi ni vita takatifu isio kuwa na doa kwao.

Sasa hivi wananchi hawa wengi na wanaoishi ugaibuni ndio kwanza wana support Israel dhidi ya Hamas. Wanafunzi chuoni hawataki tena kukanyaga bendera za USA na Israel zilizochorwa chini. Wananchi wengi wanajitoa muhanga kufanya maandamano dhidi ya sera kali za maafa na unyonyaji zinazo thaminiwa na khomein, eti baba wa kiroho wa nchi. Huyo khomeini ambae ndie baba wa kiroho wa Iran, ndio wa kwanza kupromote maafa dhidi ya wale wasioendana na sera na dini yake.

Tambueni kuwa Iran ndie anaefadhili vikundi vya kigaidi vingi. Hizi vita na maafa anayofadhili si kwa ajili ya ukombozi mzuri wa watu bali ni ku-promote ubaya na jihad dhidi ya wale wote wasio wa asili yao.

Israel ilikuwa katika harakati nzuri ya kufanya amani na mataifa ya kiarabu. Hii process iliwaumiza sana Iran kwa maana hakutaka muyahudi afanye amani nao. Kwa hio alitumia hii kama hamasa ya kuahamasisha na kufadhili hamas ili waivamie Israel then Israel ali-react kwa hasira. Then kinachofata ni tena mataifa ya kiarabu kumchukia Israel kwa vile alivyo react dhidi ya Gaza.

Kumbuka wewe Muislam, adui yako sio mkristo au muyahudi, adui yako huyo muislam mwenzako anaekufundisha chuki na vita dhidi ya asie muislam na kukuambia kuwa utapata amani ya milele peponi ukishamfanyia maafa.

SOMA:

Ndugu zangu waislam, tuitunze hii amani tuliyonayo, msirithishwe chuki
 
Umeandika ujinga mwingi na wala huna unacho jua,

Tatizo la mashariki ya kati sio uyahudi wa uarabu tatizo ni taifa la Israel lililo undwa kihuni na wagharibi ili kulinda maslahi yao katika eneo hili.

Iran haijawahi kuwa na tatizo lolote na wayahudi kwa sababu ndani ya nchi yake kuna raia wake ambao wana asili ya kiyahudi na wapo kwenye vitengo nyeti vya serikali na Iran imekuwa ikiwatumia sana kufanya ujasusi nchini Israel,Iran pia ilisha ongozwa na rais mwenye asili ya kiyahudi ambaye jina lake anaitwa Mohamud Ahamednejad.

Alafu unacho takiwa kujua ni kuwa asilimia kubwa ya marafiki wa Iran ni nchi zenye wakristo wengi na sio zenye waisilam wengi.
 
Hivi karibuni Wananchi wengi wa Iran walianza kusanuka na system iliowajenga kwa miaka na miaka. Wamekuja kugundua wao wanatumika kama instruments za sera za chuki na unyonyaji za mamlaka ya Iran.

Wamekuzwa na kufunzwa kuwa adui wao ni Israel na Marekani na wametengenezwa kwa namna ya kuwa vita yoyote dhidi ya mtu asie muislam kama wao basi ni vita takatifu isio kuwa na doa kwao.

Sasa hivi wananchi hawa wengi na wanaoishi ugaibuni ndio kwanza wana support Israel dhidi ya Hamas. Wanafunzi chuoni hawataki tena kukanyaga bendera za USA na Israel zilizochorwa chini. Wananchi wengi wanajitoa muhanga kufanya maandamano dhidi ya sera kali za maafa na unyonyaji zinazo thaminiwa na khomein, eti baba wa kiroho wa nchi. Huyo khomeini ambae ndie baba wa kiroho wa Iran, ndio wa kwanza kupromote maafa dhidi ya wale wasioendana na sera na dini yake.

Tambueni kuwa Iran ndie anaefadhili vikundi vya kigaidi vingi. Hizi vita na maafa anayofadhili si kwa ajili ya ukombozi mzuri wa watu bali ni ku-promote ubaya na jihad dhidi ya wale wote wasio wa asili yao.

Israel ilikuwa katika harakati nzuri ya kufanya amani na mataifa ya kiarabu. Hii process iliwaumiza sana Iran kwa maana hakutaka muyahudi afanye amani nao. Kwa hio alitumia hii kama hamasa ya kuahamasisha na kufadhili hamas ili waivamie Israel then Israel ali-react kwa hasira. Then kinachofata ni tena mataifa ya kiarabu kumchukia Israel kwa vile alivyo react dhidi ya Gaza.

Kumbuka wewe Muislam, adui yako sio mkristo au muyahudi, adui yako huyo muislam mwenzako anaekufundisha chuki na vita dhidi ya asie muislam na kukuambia kuwa utapata amani ya milele peponi ukishamfanyia maafa.

Ndugu zangu waislam, tuitunze hii amani tuliyonayo, msirithishwe chuki
Umeandika kihisia zaidi bila ushahidi au vyanzo kuthibitisha hoja yako.

Iran (Uajemi) ina historia ya kale sana na Wayahudi, soma vitabu vya biblia vya Esta, Nehemia, Danieli na Ezra utaona hili.

Mpaka sasa kuna Wayahudi wengi tu huko Iran, japo wengi wao walihamia Israel baada ya hilo taifa kuundwa 1948.

Uhasama wa Iran na Israel una sura nyingi ikiwemo huu mzozo wa Israel na Palestine.
 
Kweli mkuu ,kiufupi waafrika hasa watz dini zimewafanya kuwa wapumbavu.

Uhasama wa Israel na Iran ni wakimasilahi zaidi na wala hauna uhusiano wowote na asili kiyahudi au uajemi wala masuala ya dini.
Iran na Marekani ni maadui na Israel ndo mlinzi mkubwa wa masilahi ya Marekani mashariki ya kati hivyo Iran hivyo katika harakati za Iran kuhalibu masilahi ya Marekani inajukuta imesha iumiza moja kwa moja Israel nadhani tatizo lina anzia hapo.
 
Hivi karibuni Wananchi wengi wa Iran walianza kusanuka na system iliowajenga kwa miaka na miaka. Wamekuja kugundua wao wanatumika kama instruments za sera za chuki na unyonyaji za mamlaka ya Iran.

Wamekuzwa na kufunzwa kuwa adui wao ni Israel na Marekani na wametengenezwa kwa namna ya kuwa vita yoyote dhidi ya mtu asie muislam kama wao basi ni vita takatifu isio kuwa na doa kwao.

Sasa hivi wananchi hawa wengi na wanaoishi ugaibuni ndio kwanza wana support Israel dhidi ya Hamas. Wanafunzi chuoni hawataki tena kukanyaga bendera za USA na Israel zilizochorwa chini. Wananchi wengi wanajitoa muhanga kufanya maandamano dhidi ya sera kali za maafa na unyonyaji zinazo thaminiwa na khomein, eti baba wa kiroho wa nchi. Huyo khomeini ambae ndie baba wa kiroho wa Iran, ndio wa kwanza kupromote maafa dhidi ya wale wasioendana na sera na dini yake.

Tambueni kuwa Iran ndie anaefadhili vikundi vya kigaidi vingi. Hizi vita na maafa anayofadhili si kwa ajili ya ukombozi mzuri wa watu bali ni ku-promote ubaya na jihad dhidi ya wale wote wasio wa asili yao.

Israel ilikuwa katika harakati nzuri ya kufanya amani na mataifa ya kiarabu. Hii process iliwaumiza sana Iran kwa maana hakutaka muyahudi afanye amani nao. Kwa hio alitumia hii kama hamasa ya kuahamasisha na kufadhili hamas ili waivamie Israel then Israel ali-react kwa hasira. Then kinachofata ni tena mataifa ya kiarabu kumchukia Israel kwa vile alivyo react dhidi ya Gaza.

Kumbuka wewe Muislam, adui yako sio mkristo au muyahudi, adui yako huyo muislam mwenzako anaekufundisha chuki na vita dhidi ya asie muislam na kukuambia kuwa utapata amani ya milele peponi ukishamfanyia maafa.

SOMA:

Ndugu zangu waislam, tuitunze hii amani tuliyonayo, msirithishwe chuki
Tafuta lishe ya familia yako

Achana na walawi
 
bado haujasema ni mpaka useme.

Watu pori.👇

images (4).jpeg
 
dawa yake inachemka, kuna siku kikombe cha hasira ya Mungu kitamwagika juu yake, na hatakuwepo wa kumuokoa.
 
Wanapenda kusema 'israel down, USA down, allah akbar' huku wakiandamana kwa kulaani hizo nchi na kuchoma moto bendera za nchi hizo. Ifike muda iran ipate kifinyo iache kuwa baba wa ugaidi duniani
 
Kulikuwa na vita ya Iran na Iraq na hao ni wayahudi? Au wazungu?
Nilikuwa huko wakati wa vita tangu inaanza mpaka inaisha
Baada ya hapo kilichosababisha Iraq tena kuvamia Kuwait na chanzo kilikuwa ni Iraq kutaka kuivamia Israel
Nilikuwa huko mpaka mambo yote haya yanatokea na mpaka operation dessert Storm na mpaka Dunia inavamia Iraq kwa kuikomboa nchi tajiri kwa maslahi yao

Ukiwa mshabiki tu wa mpira basi utaropoka na kubisha

Hebu simamieni mgogoro wenu na Wamasai kufukuzwa sehemu zao na kuchomewa nyumba zao na kuibiwa mifugo yao
Huu ni unafiki wa hali ya juu, eti mnaijua Israel kuliko nchi yenu shame on you guys
 
Back
Top Bottom