Nimefurahi kuona maandamano nchini Iran

Kiuhalisia mamlaka za middle east ukitoa israel ni za ovyo sana.

Mfano:

■Saud:
mali ya nchi nzima inamilikiwa na ukoo mmoja, mwananchi hapaswi kulalamika kuhusu matatizo ya nchi..hii inapelekea adhabu ya kifo kwa kuchinjwa. Mwanamke ndio amekuja kuanza kuendesha gari hivi karibuni.....

■Iran:
mamlaka inayotumia itikadi kali ya dini kuendesha nchi angali bado wao ni watu hatari sana katika usalama wa dunia. Wao ni mabingwa wa kulalamikia nchi za magharibu lakini wao hawako tayari kulalamikiwa na wananchi wao binafsi. Wanafadhili makundi ya

■Palestine:
Hamas wanajificha katika majumba ya wananchi kulusha makombora katika makazi ya wana israel, Israel ikirusha makombola katika maeneo waliyopo unakuta ni makazi ya watu kupelekea umauti na majeraha kwa raia wa pal, then baadae hamas wanakimbilia kusema Israel wanafanya genocide.
 
Nimekuuliza swali kuwa waislamu chanzo cha elimu na habari za ufunuo ni Qu'ran pekee ?

Ukiwa mjinga kiasi hizi haustaili kujibiwa# nimemaliza
Wewe si kila siku unasema kurwani imejitosheleza sasa iweje tena mnatumia vitabu vingine kui support kurwani.

Nazidi kuamini ili kuwa muumini lazima ujitoe akili ndio mana juzi kati mkaanza kusema ukomunist ni uislamu ila kumsuport mrusi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kurwani ndio kitu gani ?

Qur'an imeamrisha kumtii Mtume Muhammad (upon him be peace and blessing of) na kusikiliza kila anachotupa tukipokee na anachotukataza tujiepushe sasa kama Mtume kasema neno fulani na imethibika ni kutoka kwake na maneno yake yakakusanywa kwenye kitabu hapo kuna ubaya gani kufuata na kuyasoma ?

Alisema ukomunist ni uislamu ni nani na order ya kumasapoti mweusi katoa nani na yeye aliyotoa anamamlaka gani ya neno lake liwe sheria kwa waislamu wote ?
 
basi waje afrika huku waacha kuvaa hijabu...lakini watachota maji km 8 ,hakuna hospotal,hakuna elimu bora wala ajira...waondoke huko
 
Hao wanaotaka muoane me kwa me ndio hawaminyi haki za raia wao
US na ISRAHELL sio adui wa IRAN tu hao UMBWA ni maadui wa DUNIA nzima
Mwisho:-kitendo cha huyo mschana kuuliwa nichakishenzi sana na kinahuzunisha sana ila maandamano yatoshe sasa maana hayatamrejesha Marehem na wauaji washughulikiwe haswaaa
IRAN TAIFA TEULE

Sent using Jamii Forums mobile app
punguza jazba
 
America this, America that...

Mara utasikia;
Death to America, Death to Israel...

Kwa miongo na miongo utawala wa Iran una fanya kila kitu kuhakikisha wananchi wao waamini kuwa Marekani na Israel ndio adui wao wa maendeleo na ustawi, lakini kiuhalisia utawala wa Iran ndio adui wa kwanza wa wananchi wao.

Moral guardians wamempiga binti hadi kufariki kisa tu ya nywele zake kuonekana, sasa wananchi wamejitosa kuonesha kuwa sio haki, wakiwemo wamama na mabinti wakivua hijab zao.

Nchi za KiPersia na KiArab zinaminya haki za wanachi zao na itikadi zao ni za udini.

View attachment 2364492
Dunia nzima imefurahia. Sio wewe peke yako uliyefurahia
 
Umemsahau bibi yao faiza na babu yao muhamed.

Hii dini na wafuasi wake wajitathimini kwa kweli..dunia ya sasa sio ya vilaza...watu wameamka.

Ndio mana walikua wanapinga elimu dunia ili watu waendelee kuwa vilaza na watumwa wa dini.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mungekua mnaelimu kama mnavyojidai msingeletewa mitaala na sheria zakimataifa zakukataa mke zaidi yammoja kwakigezo chaukosefu wahaki za binaadamu
Wakat huo huo wanaume kwawanaume muoane na ke pia
Hizi akili zenu na elimu zenu bora msiwe nazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Israel ni jina zuri usiliharibu kuliandika hivyo kisa hawa wakina Netanyahu kwenye Qu'ran Israel ametajwa kama Nabii Yaquub('Alayhissalaam) ndio maana kizazi chake kikaitwa bani Israel (Wana wa Israel) ambaye Israel mwenyewe ni Yaquub ( 'Alayhissalaam) kama ilivyokuwa sisi Wana Adam wote kwa vile tumetokana na kizazi cha Nabii Adam ('Alayhissalaam) hivyo kuandika Israel kam ISRAHELL hapo ni kufafua jina ya Nabii wetu kipenzi cha Allah bora kukebehi kutumia View attachment 2364576
Israel iliyotajwa sio Hawa mashoga waliokusanywa kutoka Ulaya na kupelekwa pale middle East, wamefanikiwa kuwapoteza hao mburula wanakubali kila kitu, na ndio maana wanaathari kubwa ya ushoga na nchi karibia yote wansbomolewa rivas
 
Kweli kabisa wakina Netanyahu hawa wa mchongo ila wameamua kujipa jina zuri ,mankiti yangu ilikuwa jina lisichafuliwe mfano mtu muovu muuaji ajiite jina la mtu mwema hapo haiwi sana kulidhihaki hilo jina kisa kuna muovu amejiita ila lililo sawa ni kulenga Moja kwa Moja muhusika.
 
Kiuhalisia mamlaka za middle east ukitoa israel ni za ovyo sana.

Mfano:

■Saud:
mali ya nchi nzima inamilikiwa na ukoo mmoja, mwananchi hapaswi kulalamika kuhusu matatizo ya nchi..hii inapelekea adhabu ya kifo kwa kuchinjwa. Mwanamke ndio amekuja kuanza kuendesha gari hivi karibuni.....

■Iran:
mamlaka inayotumia itikadi kali ya dini kuendesha nchi angali bado wao ni watu hatari sana katika usalama wa dunia. Wao ni mabingwa wa kulalamikia nchi za magharibu lakini wao hawako tayari kulalamikiwa na wananchi wao binafsi. Wanafadhili makundi ya

■Palestine:
Hamas wanajificha katika majumba ya wananchi kulusha makombora katika makazi ya wana israel, Israel ikirusha makombola katika maeneo waliyopo unakuta ni makazi ya watu kupelekea umauti na majeraha kwa raia wa pal, then baadae hamas wanakimbilia kusema Israel wanafanya genocide.
Hao Saud unaowaita wajinga Ni nchi chache sana Duniani zinaweza kusema zina Maendeleo watu kushinda wao.

Wamefanikisha nchi Nzima kutoa umasikini, Raia wanasomeshwa wanavyotaka na wanaofanya vizuri wanasoma Nchi yoyote, hakuna raia hata mmoja ambaye ni Homeless. Imefika stage kutomiliki gari na nyumba ni umasikini wanataka kila Raia awe na Gari.

Fananisha na huku kwetu Sasa uone kama wao ni wajinga ama. Kila siku natoa Mfano humu Nigeria ana mafuta kama Nchi za Kiarabu ila Hana Maendeleo, Hapa Tanzania hizo nchi za kiarabu zingekua hata na asilimia 10 ya rasilimali zetu wangekua na Maendeleo kuliko Sisi.
 
Hao wanaotaka muoane me kwa me ndio hawaminyi haki za raia wao
US na ISRAHELL sio adui wa IRAN tu hao UMBWA ni maadui wa DUNIA nzima
Mwisho:-kitendo cha huyo mschana kuuliwa nichakishenzi sana na kinahuzunisha sana ila maandamano yatoshe sasa maana hayatamrejesha Marehem na wauaji washughulikiwe haswaaa
IRAN TAIFA TEULE

Sent using Jamii Forums mobile app

Hehehe tabirr Urusi taifa teulee
 
America this, America that...

Mara utasikia;
Death to America, Death to Israel...

Kwa miongo na miongo utawala wa Iran una fanya kila kitu kuhakikisha wananchi wao waamini kuwa Marekani na Israel ndio adui wao wa maendeleo na ustawi, lakini kiuhalisia utawala wa Iran ndio adui wa kwanza wa wananchi wao.

Moral guardians wamempiga binti hadi kufariki kisa tu ya nywele zake kuonekana, sasa wananchi wamejitosa kuonesha kuwa sio haki, wakiwemo wamama na mabinti wakivua hijab zao.

Nchi za KiPersia na KiArab zinaminya haki za wanachi zao na itikadi zao ni za udini.

View attachment 2364492

ILA bora wazifunike, nywele nzuri hizi
 
Kuna mataifa ni magumu sana kuishi
 
Back
Top Bottom