Ni kweli kamba Nigeria ni mfano mbaya sana. Ila ukilinganisha Nigeria na Saudia uangalie namba halisi. Kwanza Mapato ya Saudia ni mara nyingi za Nigeria (Saudia wanazalisha tani zaidi ya 500, ilhali Nigeria ni chini ya 100. Pili idadi ya watu Nigeria ni kubwa kuliko Saudia.
Saudia kama nchi nyingi za Waarabu penye mafuta mengi yamebaki nyuma hata wakiweza kununua kila kitu - ila hadi wapate raia wanaochapa kazi hawataendelea kweli. Hadi sasa kwa kazi nyingi ni watu wa nje tu.
Hiyo Chini ya 100 ni juzi tu, Nigeria wanazalisha Barell zaidi ya milioni 1 kwa siku.
Na Mkuu gdp per capita Ya Nigeria ni mbovu even ukiweka factor ya population,
Archana na Nigeria, siku chache zilizopita Angola amekua wa kwanza Africa, Angola wapo wachache kuliko Saudia lakini pato la mtu mmoja mmoja Angola halifiki hata 10% ya Saudi Arabia (Angola ni chini ya $2000).
Na hizo nchi za kiarabu hazipo nyuma na uchapa kazi si Maendeleo, kumbuka wale maadui watatu aliowataja Nyerere
Ujinga, maradhi, umasikini.
Hizo nchi za Gulf ni matajiri ina maana umasikini hawana.
Literace rate ni kubwa even Nchi kama Palestine ambayo muda wote ina vita Literace rate ni asilimia 96
Afya wanayo na Huduma ni bure kabisa. Serikali inagharamia $300 kwa kila mwananchi kila mwaka huduma zote za Afya ni Bure.
So wewe unafikiri Maendeleo ni nini? Kipi ambacho kina wafanya wawe hawajaendelea?