Nimefurahi kuona maandamano nchini Iran

Forrest Gump

JF-Expert Member
Jul 2, 2021
381
740
America this, America that...

Mara utasikia;
Death to America, Death to Israel...

Kwa miongo na miongo utawala wa Iran una fanya kila kitu kuhakikisha wananchi wao waamini kuwa Marekani na Israel ndio adui wao wa maendeleo na ustawi, lakini kiuhalisia utawala wa Iran ndio adui wa kwanza wa wananchi wao.

Moral guardians wamempiga binti hadi kufariki kisa tu ya nywele zake kuonekana, sasa wananchi wamejitosa kuonesha kuwa sio haki, wakiwemo wamama na mabinti wakivua hijab zao.

Nchi za KiPersia na KiArab zinaminya haki za wanachi zao na itikadi zao ni za udini.

Screenshot_20220922-115513_Firefox.jpg
 
adriz

JF-Expert Member
Sep 2, 2017
4,902
8,415
Hao wanaotaka muoane me kwa me ndio hawaminyi haki za raia wao
US na ISRAHELL sio adui wa IRAN tu hao UMBWA ni maadui wa DUNIA nzima
Mwisho:-kitendo cha huyo mschana kuuliwa nichakishenzi sana na kinahuzunisha sana ila maandamano yatoshe sasa maana hayatamrejesha Marehem na wauaji washughulikiwe haswaaa
IRAN TAIFA TEULE

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Israel ni jina zuri usiliharibu kuliandika hivyo kisa hawa wakina Netanyahu kwenye Qu'ran Israel ametajwa kama Nabii Yaquub('Alayhissalaam) ndio maana kizazi chake kikaitwa bani Israel (Wana wa Israel) ambaye Israel mwenyewe ni Yaquub ( 'Alayhissalaam) kama ilivyokuwa sisi Wana Adam wote kwa vile tumetokana na kizazi cha Nabii Adam ('Alayhissalaam) hivyo kuandika Israel kam ISRAHELL hapo ni kufafua jina ya Nabii wetu kipenzi cha Allah bora kukebehi kutumia
IMG_20220922_130643.jpg
 
baba-mwajuma

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
889
1,334
America this, America that...

Mara utasikia;
Death to America, Death to Israel...

Kwa miongo na miongo utawala wa Iran una fanya kila kitu kuhakikisha wananchi wao waamini kuwa Marekani na Israel ndio adui wao wa maendeleo na ustawi, lakini kiuhalisia utawala wa Iran ndio adui wa kwanza wa wananchi wao.

Moral guardians wamempiga binti hadi kufariki kisa tu ya nywele zake kuonekana, sasa wananchi wamejitosa kuonesha kuwa sio haki, wakiwemo wamama na mabinti wakivua hijab zao.

Nchi za KiPersia na KiArab zinaminya haki za wanachi zao na itikadi zao ni za udini.

View attachment 2364492
Uisilamu unaendeshwa kwa sheria zake, hakuna sheria inayosema MTU auliwe kwa kutovaa Hijabu, hao waliomuua walimuuua kwa utashi wao.

Hichi kifo kilitokea saws sawa na kifo cha Binti muIraq ambaye ameuliwa na majeshi ya Marekani
bcba0a62-f1d8-4fdf-9d83-a670caee6f48.jpg

Umri wake ni miaka 15 mtoto wa mkulima, majeshi yanafanya mazoezi na kumshoot. tu ila vyombo vya Habari kimya. Ukifuatilia vyombo vya habari vya kimagharibi unakuwa zombie unakuwa programmed kufuata tu Agenda.

Na MTU anayetetea Israel anahitaji uwe na moyo wa kinyama sana, watu ambao wapo busy kuua watu mpaka vitoto huku wanacheka, even huko Ulaya hawapendwi.
 
Mokiti

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
6,775
2,589
Mkuu Israel ni jina zuri usiliharibu kuliandika hivyo kisa hawa wakina Netanyahu kwenye Qu'ran Israel ametajwa kama Nabii Yaquub('Alayhissalaam) ndio maana kizazi chake kikaitwa bani Israel (Wana wa Israel) ambaye Israel mwenyewe ni Yaquub ( 'Alayhissalaam) kama ilivyokuwa sisi Wana Adam wote kwa vile tumetokana na kizazi cha Nabii Adam ('Alayhissalaam) hivyo kuandika Israel kam ISRAHELL hapo ni kufafua jina ya Nabii wetu kipenzi cha Allah bora kukebehi kutumia
Umejuaje Israel ndie Yaquub ? nimesoma Koran yote sijapata iyo connection
 
adriz

JF-Expert Member
Sep 2, 2017
4,902
8,415
Aya haijataja Israel ndie Yaquub
wewe uliedai Israel ndie Yaquub utuambie umetoa wapi ndani ya Koran na ilikuwaje jina likabadilika kutoka Yaquub kwenda Israel?
Chanzo vya elimu kwenye dini ya kiislamu ni Qu'ran pekee ? mbona vitu kibao havikutajwa majina ila ufafanuzi unakuja kwenye Sunnah au chapter nyingine ya Qu'ran hapo shida iko wapi ? Yaquub kisa chake cha kujizuia kula baadhi ya vyakula mbona maarufu mno na hapo ametajwa kwa jina la Israeli na wana wa Israel inamaanisha uzao wa Yaquub...
 
Mokiti

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
6,775
2,589
Chanzo vya elimu kwenye dini ya kiislamu ni Qu'ran pekee ? mbona vitu kibao havikutajwa majina ila ufafanuzi unakuja kwenye Sunnah au chapter nyingine ya Qu'ran hapo shida iko wapi ? Yaquub kisa chake cha kujizuia kula baadhi ya vyakula mbona maarufu mno na hapo ametajwa kwa jina la Israeli na wana wa Israel inamaanisha uzao wa Yaquub...
Leta ushahid wa jina kubadilika kutoka Yaquub kwenda Israel
 
adriz

JF-Expert Member
Sep 2, 2017
4,902
8,415
Leta ushahid wa jina kubadilika kutoka Yaquub kwenda Israel
Ushahidi kupitia chanzo kipi ?

Kwa ufupi unaweza kuta Nabii mmoja ana majina mengi tu mfano Yunus mmezwa na chewa jina lake lingine lililotajwa kwenye Qu'ran ni Dhun_nuun hata Mtume Muhammad (upon him be peace and blessing of Allah) anamajina mengi tu na ninayojajua mimi zaidi ya kumi na mengine yametajwa katika Qu'ran
 
Mokiti

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
6,775
2,589
Ushahidi kupitia chanzo kipi ?

Kwa ufupi unaweza kuta Nabii mmoja ana majina mengi tu mfano Yunus mmezwa na chewa jina lake lingine lililotajwa kwenye Qu'ran ni Dhun_nuun hata Mtume Muhammad (upon him be peace and blessing of Allah) anamajina mengi tu na ninayojajua mimi zaidi ya kumi na mengine yametajwa katika Qu'ran
Kama hakuna ushahidi kiri tu na usirudie tena
swali ni hili
Umedai Israel ndie Yaquub utuambie umetoa wapi ndani ya Koran na ilikuwaje jina likabadilika kutoka Yaquub kwenda Israel?
 
Mokiti

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
6,775
2,589
Nimekuuliza swali kuwa waislamu chanzo cha elimu na habari za ufunuo ni Qu'ran pekee ?

Ukiwa mjinga kiasi hizi haustaili kujibiwa# nimemaliza
Tumia chanzo chako kiweke hapa na ujibu madai yako
swali
Umedai Israel ndie Yaquub utuambie umetoa wapi ndani ya Koran (chanzo chako) na ilikuwaje jina likabadilika kutoka Yaquub kwenda Israel?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

12 Reactions
Reply
Top Bottom