nimefurahi kukuta jamboforums na sasa jamiiforums ikiwa haijafa

pole kaka
ur welcome
wapo waliopkuwepo na wagen kibao
sema tu drama ni nying sana nwdays
si km vile zaman was only sensible issues bt ol n ol ur welcome
alutaaaaaa..........
 
jela niaje?
dah lakin uko majuu asi fresh tu si km segerea..
pole
hw is ya family?
mkeo/galfrend umemkuta salama?( M SOR KM NTAKUBOA NA SWALI ILI)

pole na yote
yote maisha ili mrad uhai....
 
ehh wewe jaman vp?
kila kitu unapnga tu?
sasa ndo kusema aumwamin km kajiunga long au ni vp?
sio kila kitu ni cha magumash
ukisoma kwa macho mawili utasense kabsa uyu bwana ni mkweli na wala si adith

watanzania bado wabishi tu kama zamani kumbe
 
ehh wewe jaman vp?
kila kitu unapnga tu?
sasa ndo kusema aumwamin km kajiunga long au ni vp?
sio kila kitu ni cha magumash
ukisoma kwa macho mawili utasense kabsa uyu bwana ni mkweli na wala si adith

Ningekushauri ufunguwe kamusi ujifunze upya maana ya neno kupinga, au nioneshe ni kipi nilichokipinga.
 
jela niaje?
dah lakin uko majuu asi fresh tu si km segerea..
pole
hw is ya family?
mkeo/galfrend umemkuta salama?( M SOR KM NTAKUBOA NA SWALI ILI)

pole na yote
yote maisha ili mrad uhai....

nilikuwa sijaoa bad o coz nilipomaliza chuo nilifanya kazi for 3 years hapa hapa US ,na ndio nilikuwa nataka kurudi home tz sema haya mahasibu ndio yakatokea,familia yangu wote wazima na mdogo wangu wa mwisho ,thanks GOD wote wazima wa afya
 
Pole sana, karibu tena tuendeleze gurudumu la maendeleo. Usikate tamaa, we omba Mungu anatenda Miujiza nafikri muujiza wa kwanza ni huo wa kutoka gerezani huna hatia.

Praise and worship, hakuna kinachoshindikana kwake. Staby blessed.
 
thanks
 
kwa nini? i hope sasa hivi mtakuwa na umeme wa nuklear na usafiri wa uhakika

Kuhusu swala la usafiri hilo tumeshafanikiwa na tumevuka malengo, sasa hivi kila kona ni vibajaj kwa kwenda mbele na pikipiki za mchina ( boda boda ). mpaka ambulance sasa hivi ni bajaj. na la zaidi Mvumbuzi wa dawa ya ukimwi anapatikana Tanzania na dawa imetoka kwa mungu. hatuhitaji tena condom. u just google loliondo utapata mambo yote.
 
BWA ha ha! ha !
sasa si ni kama bombay tena,so unanishauri nijinunulie bajaj badala ya infinity or cardillac
 
aaa mzee bubu anataka kusema nakukumbuka sana na kama sikosei utakuwa umebadilisha avator yako , tuko pamoja mzee

Ni kweli nimebadili avatar yangu siku za karibuni. Mwanzoni ilikuwa ile ya Michael Jordan, hii avatar yako naikumbuka sana.
 
Back
Top Bottom