nimefurahi kukuta jamboforums na sasa jamiiforums ikiwa haijafa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nimefurahi kukuta jamboforums na sasa jamiiforums ikiwa haijafa

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by John W. Mlacha, Apr 15, 2011.

 1. J

  John W. Mlacha Verified User

  #1
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  not verified
   
 2. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mmmh pole sana mkuu na karibu tena ulifungwa?wat happend?duh pole sana lkn usijali ndo maisha yalivyo ndugu na wengi walofungwa[but kwa maslai ya taifa ]ni ma big time heros,hope u wanna be one of them kuja kutukomboa na ufisadi n ol zat[kidding]pole sana,welocamu backi.
   
 3. J

  John W. Mlacha Verified User

  #3
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  thanks,offcourse i was in jail since 2007 dec,sababu nitawaambia badae. coz mpaka sasa ivi sijasettle
   
 4. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Pole sana mkuu, yote maisha mwanadamu kaumbiwa mitihani mingi kama umetoka jela salama nikushukuru mungu..
   
 5. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Pole sana mkuu, yote maisha mwanadamu kaumbiwa mitihani mingi kama umetoka jela salama nikushukuru mungu..Karibu sana
   
 6. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kwanza naomba kukupa pole mkuu na hongera kwa kuwa miongoni mwa waasisi wa JF ambao sisi tuliojiunga karibuni tunakubali mchango wao hadi hapa tulipofika

  Karibu sana tuendelee na juhudi za kuijenga jamii yetu kwa kupitia njia hii mpya ya kutawala kwa kupaza sauti zetu kupitia social media...

  Karibu sana
   
 7. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2011
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  pole sana karibu tena humu sie bado tupo na mie nimo tangu enzi za jamboforum

  Usiwe na wasi kuhusu kufungwa I hope ulitumia muda wako kujiendeleza huko as huwa kuna chances nyingi hata za kujisomea etc

  Kama hujaenda TZ miaka mingi utaona mabadiliko mengi tu, ila usikurupuke as wapo watu wakila aina esp Dar kila mtu akili mbele kutafuta pesa kiana yoyote
   
 8. J

  John W. Mlacha Verified User

  #8
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  tuko pamoja
   
 9. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #9
  Apr 15, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Mkuu avatar yako imenifanya nifunge safari kwenda kununua ashkrimu koni!!

   
 10. J

  John W. Mlacha Verified User

  #10
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  nilikuwa nafanya kazi huko huko coz mimi ni mtaalamu wa mambo ya oil and gas, jela ilikuwa sio tabu kama watu wanavyofikiria sema uhuru tu wa kuwa as a human being ndio haukuwepo.
   
 11. J

  John W. Mlacha Verified User

  #11
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  ahahaha!!
   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,266
  Trophy Points: 280
  JF ni zaidi ya uijuavyo. haya drama inaendelea.


  [​IMG] Kitanga

  Today 12:48 PM
  #8 [​IMG]
  [​IMG] Junior Member [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG]


  Join Date : 4th October 2007

  Posts : 3
  Thanks 1 Thanked 0 Times in 0 Posts

  Rep Power : 0
   
 13. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #13
  Apr 15, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mkuu,

  Hao wenye nyekundu wapo sana, na naamini utawaona si muda mrefu.
  Hao kwenye Green wamedhoofu kimahudhurio hapa, hatujui ni kwanini.
  Lakini hao kwenye blue ni kama vile hawafahamiki kabisa hapa...Labda muliondoka pamoja enzi hizo!

  Lakini nikufahamishe kuwa baadhi ya watu mulioanza nao hutowaona kabisa maana walishasogelea Daawat la hukumu!

  Pia mkuu karibu sana, na pole kwa maswahibu yalokupata!
   
 14. J

  John W. Mlacha Verified User

  #14
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  kuna kitu hakipo sawa nini mkuu? nilijiunga long tym na nilikuwa naisoma sana JF sema sikuwahi kuanza kutoa michango.
   
 15. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #15
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Pole sana na yaliyokusibu huko Kitanga,pia tunakukaribisha tena tuendeleze gurudumu humu JF.
   
 16. J

  John W. Mlacha Verified User

  #16
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  aksante mkuu kwa info, kuna jamaa mwingine alikuwa anaitwa kibunango,but usihofu badae nitaanza kupitia post
   
 17. J

  John W. Mlacha Verified User

  #17
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  bado CUF ndio chama kikuu cha upinzani Tanzania? dont laugh at me guys
   
 18. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #18
  Apr 15, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Karibu sana na pole kwa masaibu yaliyokukuta..
   
 19. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #19
  Apr 15, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  Karibu sana Kitanga na pole kwa yaliyokusibu! Yote maisha na maisha lazima yaendelee...

  Hawa wakuu bado wapo wapo na muda siyo mrefu utawaona hapa JF
   
 20. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #20
  Apr 15, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0

  ehh wewe jaman vp?
  kila kitu unapnga tu?
  sasa ndo kusema aumwamin km kajiunga long au ni vp?
  sio kila kitu ni cha magumash
  ukisoma kwa macho mawili utasense kabsa uyu bwana ni mkweli na wala si adith
   
Loading...