nimefurahi kukuta jamboforums na sasa jamiiforums ikiwa haijafa

bado CUF ndio chama kikuu cha upinzani Tanzania? dont laugh at me guys
Mkubwa CUF=CCM B wameshafunga ndoa moja, kwa sasa chama kikubwa cha upinzani ni CHADEMA.Chama tawala kinaishutumu jamii forum kuwa ni wapinzani wao wakubwa.Kwa ss Tz kila anaeipinga CCM anaitwa mfuasi wa CHADEMA

Ila mambo kwa sasa si mazuri katika nchi yetu,mambo yako hovyo hovyo

Karibu sana
 
Back
Top Bottom