William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
Asante kaka. Ungeweza kudokeza dhumuni la blogu kama hutojali manake wengine mambo ya kifesibuku hatutaki hata kuyachungulia.
Agwe, msolo wenyenye? Usinukaa?
...Kujifagilia tayari kwa kinyang'anyiro cha 2015 kule jimboni.
Huyu brother naona anahangaika kama sio msomi vile?yaani akili yake anawaza mjengoni tuuuuuuuuuuuuuuuu,watu walishaonesha nia ya kutokukukubali lkn haukati tamaa ss subiri hy 2015 ndo utaamini maneno yangu!fanya mishe nyingine tu watu tutakukubali sio lzm mjengoni!
Eeh! Umenikumbusha January Makamba na mbwembwe za uchaguzi BAK! Alikuwa hot hot, alipochaguliwa hakurudi hata kutushukuru wapambe. Sijui atakuja 2014 kuanza kutuamsha? Sihasa za bongo aisee!
...Kujifagilia tayari kwa kinyang'anyiro cha 2015 kule jimboni.
wapiga kura wangapi wa Mtera wana access internet
Eeh! Umenikumbusha January Makamba na mbwembwe za uchaguzi BAK! Alikuwa hot hot, alipochaguliwa hakurudi hata kutushukuru wapambe. Sijui atakuja 2014 kuanza kutuamsha? Sihasa za bongo aisee!
rubbish haina mvuto.nimeingia kuna utandu wa bui bui kule:lol::lol::lol:....no creativity at all