Nimefungua New Blog: Malecela Blog!

Ulivyofanya ni vizuri kwani hata gari huanza na gear no moja na speed 0.Then hukimbia iwapo driver ataongeza mafuta na kubadili gear
 
wewe na Mwele ni ndugu? mbona hujichanganyi nao au kuwaongelea?

- Heshima yako mkuu, Blog inaendelea sana na mwendo ni kwa mbele sana sasa tumefikia visitors 4,100 kwa siku kule tunajali watu wote hatuna ubaguzi wala kujali nani ni nani, wote ni sawa karibu sana na wewe kule!



william.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom