Nimefungua New Blog: Malecela Blog!

Huyu brother naona anahangaika kama sio msomi vile?yaani akili yake anawaza mjengoni tuuuuuuuuuuuuuuuu,watu walishaonesha nia ya kutokukukubali lkn haukati tamaa ss subiri hy 2015 ndo utaamini maneno yangu!fanya mishe nyingine tu watu tutakukubali sio lzm mjengoni!
 
Eeh! Umenikumbusha January Makamba na mbwembwe za uchaguzi BAK! Alikuwa hot hot, alipochaguliwa hakurudi hata kutushukuru wapambe. Sijui atakuja 2014 kuanza kutuamsha? Sihasa za bongo aisee!

...Kujifagilia tayari kwa kinyang'anyiro cha 2015 kule jimboni.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Tatizo la tanzania sio kukosa wasomi bana! Mbona rais ana phd ngapi sijui! Hao maprofesa na kina profesa maji marefu huwaoni, wametufanyia lipi la maana?
Huyu brother naona anahangaika kama sio msomi vile?yaani akili yake anawaza mjengoni tuuuuuuuuuuuuuuuu,watu walishaonesha nia ya kutokukukubali lkn haukati tamaa ss subiri hy 2015 ndo utaamini maneno yangu!fanya mishe nyingine tu watu tutakukubali sio lzm mjengoni!
 
...Best King'asti nangoja utangaze nia ya kuingia mjengoni 2015, nitakuomba unipe umeneja wa campaign yako :):) ili nikupigie debe la nguvu kuhakikisha unashinda ushindi wa kishindo/Tsunami kupitia kile chama chetu :):)

Eeh! Umenikumbusha January Makamba na mbwembwe za uchaguzi BAK! Alikuwa hot hot, alipochaguliwa hakurudi hata kutushukuru wapambe. Sijui atakuja 2014 kuanza kutuamsha? Sihasa za bongo aisee!
 
Last edited by a moderator:
Kaka take time ....think and decide nini best kwako

It seems kama story ya The jack of all trades......................!!!!!!!!!
 
hongera sana..
sasa sijui na wewe utajitambulisha mbele za watu kama 'Mkurugenzi wa blog ya .....' lol??????

kama wengine?
 
wapiga kura wangapi wa Mtera wana access internet

....FA kujifagilia ndani ya magamba kisha watampigia debe la nguvu kule Mtera ili achukue jimbo 2015. Wapiga kura wa Mtera wakishapewa ubwabwa, pilau na kanga na kofia za rangi za Yanga hawatatia neno.
 
Eeh! Umenikumbusha January Makamba na mbwembwe za uchaguzi BAK! Alikuwa hot hot, alipochaguliwa hakurudi hata kutushukuru wapambe. Sijui atakuja 2014 kuanza kutuamsha? Sihasa za bongo aisee!

Lol... King'asti umesahau tenda wema uende zako usingoje......malizia mwenyewe. 2014 mtamuona tena hapa kama sio yeye.

Hivi lakini kaka Wille ni kitu gani kimekupelekea kufungua blog jamani?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom