Nimefungua kijiwe.....karibuni...

kiburu na kisusio kipo?..fanya fanya na mtura pliz
 
Natumai chipsi dume zinapatikana na kachumbari saafi!
 
Karibuni sana..... Mniungishe swaiba yenu.....

Hongera mpenzi, usinitenge, ungeandika TUMEFUNGUA KIJIWE ingawa najua mtaji mkubwa umetoa wewe kwenye biashara yako ya kuuza mbolea ya ngombe! Si ndo misingi ya ndoa na haki sawa inavyosema?

Missing u mama Clarita
 
barabara kubwa inashia barabara ndongo , nikate kushoto au kulia au unakuja kunifuata?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…