Nimefunga ndoa ya Kiserikali

Nimefunga ndoa ya Kiserikali

Ni ndoa kama ndoa zingine, inatambuliwa kisheria.

Mnafunga katika ofisi ya Mkuu wa wilaya na kukabidhiwa vyeti vya ndoa. Hakuna mbwe mbwe wala gharama. Ni nzuri sana. Mkizinguana, kila mtu anashika chake. Mali mlizotafuta ndani ya ndoa ndiyo mnagawana pasu kwa pasu.

Utakazomkuta nazo mwenzako zinabaki zake na wewe vivyo hivyo.
Yeah true
 
Hapo umetafuta talaka ya haraka. Uzoefu unaonesha kuwa ukiishi I na mwanamke bila ndoa na baadaye ukaamua kufunga naye ndoa, mara nyingi ndoa hiyo kumaliza miezi mitatu ni kudra za mwenyezi
[emoji2297][emoji2296]

NO
 
Back
Top Bottom