Nimefunga ndoa ya Kiserikali

Nimefunga ndoa ya Kiserikali

Process ilikuaje?

Gharama?

Ulianzia wapi ukamalizia wapi?

Mahitaji?

Total cost umetumia sh.ngapi?

Asante.
Mna chukua barua kwa mwenyekiti au mtendaji wa mtaa kwenda kwa msajiri wa ndoa, vizazi na vifo (RITA) wa wilaya husika mlipo.

Muwe na passpotsize tatu, moja ibandikwe kwenye barua ya utambulisho na igongwe muhuli wa serikali husika. (HIVYO MUWE NA PICHA NNE).

Mkifika RITA,
1. Mta pewa hata ya kiapo (Mahojiano) mjaze,
2. Mtapewa form tatu za tangazo, mta zijaza na kubandika zile picha zenu tatu. TANGAZO HILO LITA KAA SIKU 21
3. Mtalipia elf.50 kwa mfumo wa kiserikali KAMA GHARAMA YA NDOA n.k

BAADA YA HIZO SIKU 21 ZA TANGAZO KUISHA,
NDIPO MNAENDA WEWE NA MASHAHIDI WENU KE na ME

Then mnaapishwa na KATIBU TAWALA au yeyote mwenye mamlaka.

Mna pewa vyeti vyenu baada ya kuvi saini.

HENCE MNAENDA ZENU.
Kadri mlivyo panga kuisherehekea.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Ni ndoa kama ndoa zingine, inatambuliwa kisheria.

Mnafunga katika ofisi ya Mkuu wa wilaya na kukabidhiwa vyeti vya ndoa. Hakuna mbwe mbwe wala gharama. Ni nzuri sana. Mkizinguana, kila mtu anashika chake. Mali mlizotafuta ndani ya ndoa ndiyo mnagawana pasu kwa pasu.

Utakazomkuta nazo mwenzako zinabaki zake na wewe vivyo hivyo.
Kwani za kufungia nyumba za ibada zina gharama,zenye gharama ni hizi za vijana wa dotcom ambazo hudumu kwa wiki mbili. Nyingi huwa zinaongozwa na genye zikiisha wanaachana.
 
Mna chukua barua kwa mwenyekiti au mtendaji wa mtaa kwenda kwa msajiri wa ndoa, vizazi na vifo (RITA) wa wilaya husika mlipo.

Muwe na passpotsize tatu, moja ibandikwe kwenye barua ya utambulisho na igongwe muhuli wa serikali husika. (HIVYO MUWE NA PICHA NNE).

Mkifika RITA,
1. Mta pewa hata ya kiapo (Mahojiano) mjaze,
2. Mtapewa form tatu za tangazo, mta zijaza na kubandika zile picha zenu tatu. TANGAZO HILO LITA KAA SIKU 21
3. Mtalipia elf.50 kwa mfumo wa kiserikali KAMA GHARAMA YA NDOA n.k

BAADA YA HIZO SIKU 21 ZA TANGAZO KUISHA,
NDIPO MNAENDA WEWE NA MASHAHIDI WENU KE na ME

Then mnaapishwa na KATIBU TAWALA au yeyote mwenye mamlaka.

Mna pewa vyeti vyenu baada ya kuvi saini.

HENCE MNAENDA ZENU.
Kadri mlivyo panga kuisherehekea.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Just simple like that??

Mkuuu hiyo 50,000 tu ndio malipo na hamna malipo mengine?
 
Back
Top Bottom