Ni nzuri kama ukipata mke sahihi
Yani asie na macho kodo kabisaaa
Ika hawa njiwa hawa wanaofata mchele umemwagikia wapi
usipojiangalia hii ndoa inaweza kuwa mtaji wake wa kuanzisha biashara
Maana utakaoa kakiwa hakana kitu halafu tulivyo mazuzu tunawaweka nyumbani
Pesa mali unatafuta mwanaume,yeye yupo nyumbani anaangalia/fatilia WAARIS tu
Anakulia timing ununue Ka gari,then anaku pump uongeze kabajaji
Ukishanunua hivyo vitu,OLE wako akute hata msg ya TIGO
imekuja bahati mbaya "MPENDWA MTEJA WETU,......." atakuuliza hao ni kina nani wanakuita
Mpendwa,hata umuelekezeje hakuelewi atakimbilia mahakamani kudai MUACHANE
hAPO ANAJUA kale kagari + kale kabajaji mtaviuza na pesa mtagawana pasu kwa pasu
Ndoa za namna hiii hakikisha mwanamke anakua fighter aingize wote muingize
Lastly, "akupende from inside"