Nimefumaniwa na mke wa mtu

Nimefumaniwa na mke wa mtu

kweli siku hizi ndoa hazina thamani, watu hawaogop kabisa kutembea na mke wa mtu, maana hasira za mwanaume aliefumania hazina kipimo!!
 
Ota ndoto zote lakini si ya kufumaniwa....Yangekupata usingekuwa na ubavu wa kujimwaga jamvini humu! Temea mate chini!
 
eti kwq mtindo huu ndio serikali igawe laptop kwa watoto wote wa sekondari.mbona tutakoma na hizi hadithi!
utumbo mtupu
 
Hongera sana kwa kumla mke wa rafiki ako, na hongera kwa kukwepa kisu....
 
Ota ndoto zote lakini si ya kufumaniwa....Yangekupata usingekuwa na ubavu wa kujimwaga jamvini humu! Temea mate chini!

Mkuu umeongea kwa dhati nahisi ushawahi kumbana na kadhia hii.
 
Umeenda kwa ajili ya poaching, unafikia loge halafu unaongozana na game soldgers mmmhhhhhh halafu unajitangaza kwenye mtandao kuwa wewe ni poacher wewe ni k.i n.na au?
 
Nilimuheshimu sana shemeji yangu, lakini majuzi sikuamini aliponifuata katika chumba changu saa 7 usiku, tukiwa hotel moja serengeti park tulikokuwa kwa ajili ya mapumziko, ni mke wa rafiki yangu, mwanamke mrembo kupindukia, tukiwa tayari tumelewa mi nikaenda kulala, mumewe akasema anaenda poaching na game soldiers, mara nikasikia mlango unagongwa, kufungua ni yeye, oops mwanamke kama alivyozaliwa, alikuwa kajifunga khanga tu, bila hata chupi, nikiwa nimepigwa butwaa, akaitupa khanga mbali, nakupenda James, usiponifanya napiga kelele kuwa unataka kunibaka.

Sikuwa na ujanja ila kumgegeda, ile nakaribia kileleni tu, jamaa huyu hapaa, yaani live.

Alitoa kisu mfuko akanirushia nami nikakwepa!

muwe mnasema kama ni ndoto au ni kweli 0714 ilisalimika kweli..
 
Back
Top Bottom