Kuna watu tayari na wengine bado
😂😂Oya real😃😃😃
Nyie wa tiss naskia tayariKuna watu tayari na wengine bado
Nyie wa tiss naskia tayari
Bado kimeumanaNMB bado aisee.
Kesi ya uhujumu uchumi inakuhusu.Kama nakudai na Nina sikia mmepewa mshahara uje mwenyewe Mara moja humu ndani mko 48 ninao wadai
Hahahahah Sasa unataka wafanyajeHii tabia ya kusubiri mishahara na kujipanga kwenye ATM kwa misululu uwa inanikera sana
Usile mshahara kula kinachotokana na mshaharaHahahahah Sasa unataka wafanyaje
Toa suluhisho
hamna mkuu kawaida tu sema tunajitoa kwa ajili ya wengne ndio maana Mungu ana blessKesi ya uhujumu uchumi inakuhusu.
Haiwekani uwe na mpunga mwingi kiasi hicho.
Dili na mambo yako, pilipili usiyoila inakuwashia nini? Wenyewe wamechagua maisha hayoHii tabia ya kusubiri mishahara na kujipanga kwenye ATM kwa misululu uwa inanikera sana
Kada gani tayari?Tayari
Saa 10:16 Jioni 24/6/2021. Sijapata SmS ya NMB..Nimeenda Bank nilizani tayari nimeambiwa Sorry the amount requested is bigger than what you have in your account🙉🙉😩😩Guess ATM Mwisho is how much!!?? No akiba.I am in Low Water, nimefulia Kwa kweli. Tegemeo la Kwanza Salary ya Serikali. Mshahara wa Juni 2021 naona umechelewa. Nimesubiri SmS ya sijapata. Wengine kwenu Vipi?
Huo😎😎😎😎😎😎Saa 10:16 Jioni 24/6/2021. Sijapata SmS ya NMB..Nimeenda Bank nilizani tayari nimeambiwa Sorry the amount requested is bigger than what you have in your account🙉🙉😩😩Guess ATM Mwisho is how much!!?? No akiba.
Mkuu nilitaka nikujibu lakini nikaona wewe ni miongoni mwa watu ninaowaheshimu ikabidi nikae kimya,lakini tambua ili maisha yaende lazima tuishi kwa kutegemeana,wapo wanaopanga foleni benki wengine mashambani nk.Hii tabia ya kusubiri mishahara na kujipanga kwenye ATM kwa misululu uwa inanikera sana