Eleza kidogo kuhusu mistake halafu tukushauriBaada ya kutokea mistake ndogo hatimaye nimefukuzwa shule, msaada wa mawazo ushauri , ajira yeyote ntafanya kwasabu sna mtaji wa kujiajili, thanks
Ulikuwa kidato Cha ngapi au level ipi ya elimu?Baada ya kutokea mistake ndogo hatimaye nimefukuzwa shule, msaada wa mawazo ushauri , ajira yeyote ntafanya kwasabu sna mtaji wa kujiajili, thanks
Sawa mkuuMr Future anafukuzwaje shule??
badili hilo jina kwanza...
#dumesuruali...
Tulia, mambo ni mengi sio shule tu. Umefukuzwa au umesimamishwa?Stori ni ndefu ila ni kesi ya simu shuleni , ni shule zetu za magufuri
duh!!!! unasikitisha..Shule au chuo.????? Ukute ni Form 2 saaa unajijairi vipi mkuu???