Nimefukuzwa shule wakuu. Naombeni msaada wa mawazo

Mkuu usidanganywe na wale wanaotamba elimu sio kitu. Hao hao wapo busy na wakali sana inapotokea watoto wao kukataa shule ili wafanye biashara maana wanafahamu umuhimu wa elimu katika biashara zao
Huwa nasifu michango yako iliyokomaa
 
Ikiwezekana tafuta shule nyingine ukasome umalize elimu yako ya secondary. Nyinyi madogo siku hizi hamueleweki kwani lazima simu shuleni.
Halafu unavyoongea kujiajiri unadhani ni rahisi kihivyo, watu wana degree zao mtaani wanashindwa kujiajiri
 
Back
Top Bottom