Nimefukuzwa shule wakuu. Naombeni msaada wa mawazo

mr Future

Member
Jan 26, 2019
64
80
Baada ya kutokea mistake ndogo hatimaye nimefukuzwa shule, msaada wa mawazo ushauri, ajira yeyote ntafanya kwasabu sina mtaji wa kujiajiri.

Thanks
 
Nenda na mzazi wako shuleni au hata mjomba au uncle mwambie aongee na wakubwa wenzake huyo kiongozi wa shule.

ulikuwa unasoma kombi ipi?
 
For 5 achana na Ndoto za kujiajiri kwa sasa ebu tafuta Suluhuu uko shuleni bado una muda wa kujirekebishaa peleka wazazi wakalie kwa mkuu wa shule unaweza usifukuzwe ila ukaamishwa mbona kesi za simu ni Nyingii sana shule zetu hizii. Rudi shule kwa level yako hutakiwi kukata tamaa kwa kosa dogo kama hilo huki mtaani kugumu sana mkuu.
 
ɦǟʍɨǟ kաɛռʏɛ քʀɨvǟtɛ kwa mda tɦɛռ ֆʊɮɨʀ քɛքǟ ʟǟ six
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom