Nimefiwa na Mama yangu usiku wa kuamkia 19.11.2011 na kuzika jana.

Pole sana kwa kuondokewa na mama. Mungu akupe nguvu na kukujaza ujasiri katika kipindi hiki kigumu.
 
Pole sana ndio mipango ya mungu hiyo
na mwenyezi mungu mungu amsamehee makosa yake
na amlaze mahali pema peponi
amin
 
Pole sana Mkuu kwa kuondokewa na yule mwenye upendo wa kweli. Mungu akupe faraja katika kipindi hiki kigumu. Tupo pamoja nawe katika Sala ili Mwenyezi Mungu ampokee Mama.
 
Wakuu nimefiwa na mama yangu mzazi aliyekuwa mgonjwa wa kitandani(bedridden) kwa muda wa mwaka na nusu.
Innah Lillah wa innah Lillah Rajoon

Pole sana mkuu, Sote sisi ni wa Mwenyezi Mungu na Kwake Tutarejea.
 
Poleni sana kwa msiba na poleni pia kwa kuuguza kwa kipinchi chote hicho. Mwenyezi Mungu awajalie Baraka zake na moyo wa uvumilivu
 
Pole sana..Mungu awajalie amani , utulivu na uvumilivu katika kipindi hiki!!
 
No one can replace your mom, but God can comfort your heart. He knows what you need during this time much better than anyone else...pole sana mkuu
 
91201z.jpg





Uporoto pole sana my dear
 
Back
Top Bottom