Nimefiwa na Mama yangu usiku wa kuamkia 19.11.2011 na kuzika jana.

Wakuu naishi Upanga mtaa wa Mindu plot 480 kutakuwa na lunch Jumatatu saa saba na nusu(siku ya tatu)wote mnakaribishwa sana.

Dah! Mkuu lazima nitakuwa nakufahamu maana mitaa hiyo ni mwenyeji sana na wengi katika mitaa hiyo nawafahamu. Pole sana Mkuu.
 
InnaliLLAH pole sn mkuu,
mungu akupe subra na imani,uomboleze ktk micng anayoitaka yeye.
 
may her beautful soul rest in peace. Najua kwako n ngumu... Unapata wazo la kutaka iwe stori ya kusadikika. Ultamani aliekupa taarifa akwambie amekudanganya baada ya taarifa. Pole ndugu yangu kwa yaliyokusibu. MUNGU AKUPE ROHO YA UJASIRI KTK WAKATI HUU
 
Wakuu nimefiwa na mama yangu mzazi aliyekuwa mgonjwa wa kitandani(bedridden) kwa muda wa mwaka na nusu.

Pole sana mkuu, her soul will rest in piece forever...ila natoa angalizo kwa wachangiaji maana naona wana like hata msiba jamani?? This it's not funny guys..
 
Pumzika kwa amani mama, pole mkuu mungu akupe uvumilivu kwa kipindi hiki choote
 
Back
Top Bottom