Nimefikisha 4000 watch hours YouTube na kuwa Monetized

Nimefikisha 4000 watch hours YouTube na kuwa Monetized

UPDATE 1 (Feb 26, 2022).

Nilitakiwa kufanya identity verification kwenye Adsence, nilijaribu mara 2 na sikufanikiwa ila nikaja gundua nilikua natuma ID ya NIDA ile ambayo una download online! HILI NI KOSA!

Unachotakiwa ni kukipiga picha kitambulisho chako kwa simu au camera na kukituma kikiwa kwenye JPEG au PNG format (hakikisha picha yako iko clean na inaonekana bila shida).

Baada ya kukipiga picha kitambulisho cha NIDA nikatuma kikakubaliwa! So mission iliyo baki so far ni ku verify location, na niko nangoja code zao zifike posta nikachukue!

NB: Unapewa trials 3 au 4 kama kwenye zote ID yako ikikataliwa unaweza fungiwa kabisa!
 
Hazi hesabiwi
Zinahesabiwa ndio maana kuna options 2

Kama ni shorts basi uwe na jumla ya 10M views kutoka kwenye short video.

Na kama ni video ndefu basi inabidi uwe na jumla ya masaa 4hrs ambayo ni kama view 250k.
 
Zinahesabiwa ndio maana kuna options 2

Kama ni shorts basi uwe na jumla ya 10M views kutoka kwenye short video.

Na kama ni video ndefu basi inabidi uwe na jumla ya masaa 4hrs ambayo ni kama view 250k.
Hamna watch time za shorts hazihesabiwi kwenye ya masaa 4000 ya monetization
 
Vizuri sana mkuu, mkuu kama hauingizi pesa, na haiujihusishi na hard news, siasa sias ahko unaweza ku mute kwanza kuhusu Tcra , mpaka utakapo poke a pesa thrn ndio ukalipie..
Naweza kuwa sahihi au nisiwe sahihi
Hauwezi kuwa sahihi
 
Umeelewa nilichoandika mm nili-monetize kwa kutumia shorts sasa nakushangaa unavyobisha.
Lazima mimi na yeye tubishe, ili uwe monitized via shorts, ni lazima ufikishe 10m shorts views na wala sio issue ya watching hours. Hata mimi nilikuwa monitized via shorts

Channel yangu ililimwa ban baada tu ya kuanza kucreate videos za kumsanifu trampu
 
Hiyo channel waliyoi-ban uliibanua
 
Lazima mimi na yeye tubishe, ili uwe monitized via shorts, ni lazima ufikishe 10m shorts views na wala sio issue ya watching hours. Hata mimi nilikuwa monitized via shorts

Channel yangu ililimwa ban baada tu ya kuanza kucreate videos za kumsanifu trampu
YouTube inamilikiwa na watu ambapo wapo USA na wewe unamsanifu mtu aliyeopo USA
Hizo video ulitakiwa uweke Tikitok
 
Nyuzi kama hizi za kutumia Akili huwezi kuwaona Wanawake wa Jf kwa wingi..

Ila mambo ya Mke wangu kanikatikia mpk asubuhi.. sijui Nifanye nini kitandani.. utawaona wanavyojimwaga..
 
Nyuzi kama hizi za kutumia Akili huwezi kuwaona Wanawake wa Jf kwa wingi..

Ila mambo ya Mke wangu kanikatikia mpk asubuhi.. sijui Nifanye nini kitandani.. utawaona wanavyojimwaga..

Jamaniiiii.......

Bibi yao nipo hapa nimewawakilisha.

Tafadhali badilisha kauli....
 
Niko youtube kitambo sana nafikiri tangu mwaka 2015, ila akaunti yangu rasmi niliifungua mwaka 2019.
Sijawahi kuweka content yeyote badala yake nimekuwa mtizamaji mkubwa sana wa video mbalimbali zinazowekwa YouTube.

Video zangu nyingi niazoangalia ni za mafunzo mbalimbali yaani huwa napenda kuelimika na huwa naangalia zile za kujifunza kufanya vitu mwenyewe aka DIY.

Mara kadhaa nimejiambia ntaanza kurusha video lakini nafsi inasita.... na sababu ziko kapuni ila kuna mafunzo nimeyaanza nikiyamaliza naweza anza rusha matangazo ya picha mtembeo huko yutubu.

Ukiwaza hivi, kuna vitu gani unahisi jamii ya leo haivipati hivi vitu kwa ufasaha nawe una taarifa ya hivyo vitu na uko tayari kuvidadavua kwa mapana na marefu, basi huwezi kosa content mara 1 kwa wiki kwa ajili ya hadhira yako.

Sekta za kujikita ni nyingi sana, mfano wa harakaharaka, utanashati au fasheni. Unaweza kujikita kuelezea namna ya kuvaa na kupangilia mavazi yako kutokana na mahali unataka kwenda n.k.

Ubunifu ndo nyenzo kuu 😉.

Alamsiki.
 
Back
Top Bottom